Mgomo wa Waalimu umeanza miaka 10 iliyopita!

Wimana

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
2,449
717
Najua mnashangaa, lakini jiulizeni; inawezekana vipi?
Nasema waalimu walianza mgomo zaidi ya miaka10 ilopita kwa kupima mambo yafuatayo;-

1. Pamoja na kuongezeka idadadi ya shule na wanafunzi, Idadi ya wasiojua kusoma na kuandika haijapungua!

2. Inawezekanaje, mwanafunzi anafaulu shule ya msingi na anafika sekondari, kidato cha 4, hajui kuandika hata jina lake?

Tumesoma magazetini, wazazi wanashangaa imekuwaje watoto wao wamefaulu kuingia sekondari wakati watoto hawajui hata kusoma!
 
Back
Top Bottom