Mgomo wa waalimu ni batili - serikali imetishia

salosalo

JF-Expert Member
Jun 7, 2012
596
278
"Swala la Mgogoro uliopo kati ya serikali na waalimu (Kuhusu madai ya nyongeza ya mshahara na allowance) liko mahakamani na hivyo Kusudio la chama CWT na wafuasi wake kugoma kuanzia siku ya jumatatu(30/7/2012) ni batili" imesema serikali. serikali imewaonya waalimu kutojihusisha na mgomo huo batili ili kuepuka matatizo. Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya habari ya leo saa mbili usiku katika kituo cha ITV.
 
Back
Top Bottom