Mgomo wa UDOM: Ni kweli FFU waliua wanafunzi wawili?

Membensamba

Senior Member
Nov 4, 2010
157
10
Habari za ndani udom zinasema kuwa kuna wanafunzi wawili waliuawa kwenye maandamano, mmoja wao akiwa ni mja mzito. Lakini hili linafunikwa ili skendo hii isiwe isijulikane.

Yuko na mwanafunzi mwingine aliyebakwa na ffu hao hao. Waulizeni wanafunzi udom watawaambia vyema mambo haya. Hii ni dalili ya hatari sana na inapaswa kuundiwa kamati ya uchunguzi ili haki itendeke. Kama jeshi la polisi likianza kutuulia na kubaka watoto wetu basi kinachobaki ni kuwa wakimbizi nchini mwetu. Utamaduni huu ukiachwa ujijenge ni hatari.
 
Kama waliua itajulikana tu kwani atazikwa na FFU si lazima arudishwe kwao watafanyaje.
 
How sure are you on these claims of that level of Police Brutality in our country??? Please, come on ...!!! Bring out the whole truth out of the bag!

Nyinyi wanafunzi UDOM ambao pia ni wanachama wa JF, ukweli uko wapi hapa. Maana ni juzi tu tumeshikishwa Breki na CHADEMA kuandamana kuondoa watu wazembe kule Wizara ya Mambo ya Ndani na bado hatujarithika hata kidogo.

Tupeni ukweli, akiuawa mwenzio ukainyamazia ujue kesho ni wewe uko kwenye death row. Tunasubiri hapa.
 
How sure are you on these claims of that level of Police Brutality in our country??? Please, come on ...!!! Bring out the whole truth out of the bag!

Nyinyi wanafunzi UDOM ambao pia ni wanachama wa JF, ukweli uko wapi hapa. Maana ni juzi tu tumeshikishwa Breki na CHADEMA kuandamana kuondoa watu wazembe kule Wizara ya Mambo ya Ndani na bado hatujarithika hata kidogo.

ni nipo udom ni unafiki wa bure nashauri mamlaka za juu ziwachukulie hatua kali za kisheria wana toa habari za uchichezi hapa,,kwanza jamiiforum imekaa ki chadema,,acheni kutuaribia chuo chetu,,,ukweli si utajulikana?????
 
@Mmanyi"kwanza jamiiforum imekaa ki chadema,acheni kutuaribia chuo chetu,,,ukweli si utajulikana?????[/QUOTE]

Hivi aliyetoa hizi allegations ni member wa chadema? kama huna cha kuandika shut your big stinking mouth, huonekani kama wasoma chuo kikuu kwa comments zako, au ndio thinking capacity ya wanafunzi wa UDOM, kweli hiki chuo chakachua a.k.a chuo cha kata. Jamani anaesoma UDOM atupe ukweli, kama ni kweli tutajua tu.
 
How sure are you on these claims of that level of Police Brutality in our country??? Please, come on ...!!! Bring out the whole truth out of the bag!

Nyinyi wanafunzi UDOM ambao pia ni wanachama wa JF, ukweli uko wapi hapa. Maana ni juzi tu tumeshikishwa Breki na CHADEMA kuandamana kuondoa watu wazembe kule Wizara ya Mambo ya Ndani na bado hatujarithika hata kidogo.

ni nipo udom ni unafiki wa bure nashauri mamlaka za juu ziwachukulie hatua kali za kisheria wana toa habari za uchichezi hapa,,kwanza jamiiforum imekaa ki chadema,,acheni kutuaribia chuo chetu,,,ukweli si utajulikana?????

Sasa JF kukaa kiChadema inahusiana vp na mada husika?
Nina mashaka uanafunzi wako, University haiwezi kuwa na mwanafunzi anaecoment pumba kama hizo.
Mdau uliye m'quote hapo juu alikuwa anaomba tu uthibitisho toka kwa member yeyote ambaye ni mwanachuo wa Udom. Sasa wewe badala ya kukanusha tu kuwa habari si za kweli unaita watu wazushi, wanafki na wachochezi.
Baadae unasema "ukweli utajulikana"
Which is which?
Shame on you unayejiita mwanafunzi wa Udom.
 
@Mmanyi"kwanza jamiiforum imekaa ki chadema,acheni kutuaribia chuo chetu,,,ukweli si utajulikana?????

Hivi aliyetoa hizi allegations ni member wa chadema? kama huna cha kuandika shut your big stinking mouth, huonekani kama wasoma chuo kikuu kwa comments zako, au ndio thinking capacity ya wanafunzi wa UDOM, kweli hiki chuo chakachua a.k.a chuo cha kata. Jamani anaesoma UDOM atupe ukweli, kama ni kweli tutajua tu.[/QUOTE]

Nashukuru mwenzangu umemuono huyo bwana mdogo!! Kanipiga na butwa kweli. Badala kujibu swali yeye anatushambulia Wana-JF.

Kweli mimi nakipenda sana CHADEMA lakini kwa hapa sikuzungumzia masuala ya kisiasa wala kuharibu jina la hiki chuo Kikuu kizuri sana cha UDOM

Hata hivyo ukweli unabaki pale pale, tuambieni UDOM kumetokea nini hadi Mawaziri wate Wawili kuruka na Ndege mpaka kuja kuongea hapo chuoni, vifo hivi mtujuze haraka basi.
 
Huyo anayejiita mwanafunzi wa UDOM hana lolote na wala hana hadhi ya kua mwanafunzi wa chuo kikuu. Ndo walewale vidampa wanaotumiwa na CCM kukipa udom negative impression. Tuhuma hizo ni nzito sana naomba serikali ya wanafunzi ifuatilie ili ukweli ujulikane. Kweli sio kawaida mgomo kutokea chuoni na mawaziri wawili wa elimu na mambo ya ndani kwenda haraka tena wakakaa kikao hadi sa nane za usiku na kuwaondoa wanafunzi waliokuwa rumande mapema tu. Hayo yote ni tisa, kumi ni pale serikali iliposema itagharamikia kulipa fidia ya mali za wanafunzi zilizopotea wakati wa vurugu. Hapa lazima kuna kitu KINAFICHWA!! Hiki ni kitu kigeni katika historia ya migomo ya vyuo vikuu hapa nchini. Kwaida mwanachuo akifariki tangazo hubandikwa kwenye mbao za matangazo chuoni naomba wana udom mfuatilie kwa umakini. Kitu kingine nawasihi wana JF tuache kuongozwa na hisia and we have to be real great thinkers. A great thinker can not be tempted by political propagandas that udom is a ccm-based university simply because 5 students collected money from ccm tycoons in dodoma for JK's presidential form and claim that the money was donated by udom students. Likewise he can not be convinced by a single student giving statement to condenm chadema's walkout during JK's parliament inaugural speech.in the name of dodoma scholars, Tunatakiwa kwa sauti moja tulaani vitendo vya unyanyasaji vilivyfanywa na FFU.. .
 
wakuu this is too much, nashindwa kuelewa kwanini watu waliopo dodoma wanashindwa kutupa kweli? Ni kitu kidogo sana. Tunachotaka ni kujua ukweli,nahisi kuna mapandikizi yanataka kupotosha ukweli kwa kuleta uchadema na uccm, pambaf. Tunataka majibu haraka.
 
ni uongo na uzushi mtupu...

Kwanini unakurupuka kujibu hovyo hovyo bila kufikiri kidogo?...Hii ni tuhuma tu ambayo inagusa maisha ya watu kwa namna moja ama nyingine...ni heri iwe ni uzushi,lakini km kweli yalitokea tunahitaji mamlaka zenye dhamana zitoe tamko na hatua stahiki zilizochukuliwa....mliopo Dodoma tupeni vithibitisho zaidi tulie na hawa watu waliofanya udhalimu huu...kuna utaratibu wa kutangaza na kubandika matukio makubwa as well as madogo yanayowagusa wanachuo as well as utawala,nadhani tutajua ukweli tu soon..
 
ni uongo na uzushi mtupu...

Kwanini unakurupuka kujibu hovyo hovyo bila kufikiri kidogo?...Hii ni tuhuma tu ambayo inagusa maisha ya watu kwa namna moja ama nyingine...ni heri iwe ni uzushi,lakini km kweli yalitokea tunahitaji mamlaka zenye dhamana zitoe tamko na hatua stahiki zilizochukuliwa....mliopo Dodoma tupeni vithibitisho zaidi tulie na hawa watu waliofanya udhalimu huu...kuna utaratibu wa kutangaza na kubandika matukio makubwa as well as madogo yanayowagusa wanachuo as well as utawala,nadhani tutajua ukweli tu soon..
 
Habari za ndani udom zinasema kuwa kuna wanafunzi wawili waliuawa kwenye maandamano, mmoja wao akiwa ni mja mzito. Lakini hili linafunikwa ili skendo hii isiwe isijulikane.

Yuko na mwanafunzi mwingine aliyebakwa na ffu hao hao. Waulizeni wanafunzi udom watawaambia vyema mambo haya. Hii ni dalili ya hatari sana na inapaswa kuundiwa kamati ya uchunguzi ili haki itendeke. Kama jeshi la polisi likianza kutuulia na kubaka watoto wetu basi kinachobaki ni kuwa wakimbizi nchini mwetu. Utamaduni huu ukiachwa ujijenge ni hatari.

Jamani tuache udaku. Habari ziwe za uhakika. Hakuna cha mwanafunzi kufa wala kubakwa. Mwenye uhakika na habari za ndani ataje jina au majina ya marehemu au waliobakwa, kozi wanazosoma, mwaka wanaosoma, kwao wapi na kama wazazi wana taarifa za kupotea watoto wao.

Jamani msituweke roho juu wazazi wengine tuna maradhi ya shinikizo la damu, mtatuua bure.

Katika hali ya kawaida wanapoingia FFU kuuawa inawezekana, lakini kubakwa si rahisi kwani watu huwa wanakimbia hovyo huyo FFU atakayeacha kazi aliyotumwa mchana kweupe akakimbilie kubaka inawezekan? Tuseme mbakaji si FFU ni nani mwenye ubavu wa kubaka mchana kweupe huku mabomu ya machozi na maji ya kuwasha vikirindima na kila mmoja akikimbia kutaka kuinusuru roho yake?

Hii ilishawahi kutokea UDSM wanafunzi walidai kuwa kuna mwenzao amekufa tena mjamzito, waandishi wa habari walikwenda kufuatilia suala hili kila aliyeulizwa kama anajua mwanafunzi aliyekuwa akawa anamaka tu ati kuwa na yeye kasikia kuna mwanafunzi mwenzao kafa lakini hamjui. Haikuishia hapo tu wazushi wakazidi kulifanya suala hili lionekane ukweli wakatunga jina, kozi, mwaka na namba ya usajili ya marehemu ilipofuatiatiliwa ikagundulika kuwa hakukuwa na mwanafunzi mwenye jina lililotajwa hapo chuoni, kwenye kozi iliyotajwa hakuna aliyepotea, wote walikuwepo, namba iliyotajwa ilikuwa ya mwanamme na si mwanamke kama ilivyodaiwa na alikuwa kozi tofauti kabisa na alikuwepo chuoni.

Nchi yetu imekuwa kama tupo vitani, watu huamua kuzusha uwongo ili wateke akili za wenzao ambao wataunga mkono matakwa yao. Tabia hii ya kuzusha zusha tu mambo haifai. Msitufanye kama watoto. Hata sisi tumepitia vyuo vikuu na migomo tumeshiriki na kupigwa na FFU tumepigwa. Kwenye vurumai la FFU kubaka au kubakwa si rahisi
 
@Mmanyi"kwanza jamiiforum imekaa ki chadema,acheni kutuaribia chuo chetu,,,ukweli si utajulikana?????

Hivi aliyetoa hizi allegations ni member wa chadema? kama huna cha kuandika shut your big stinking mouth, huonekani kama wasoma chuo kikuu kwa comments zako, au ndio thinking capacity ya wanafunzi wa UDOM, kweli hiki chuo chakachua a.k.a chuo cha kata. Jamani anaesoma UDOM atupe ukweli, kama ni kweli tutajua tu.[/QUOTE]

kwanza mimi huwa nawachukia sana watu kama nyinyi wenye fikra finyu za kufikiria kwa kuangalia mwisho wa vidole vyako,nawachukia sana watu wasiokubali kubadilika na kutambuwa michango ya watu wengine,may be tubomoe chuo cha udom ili tuweze kuwafurahisha wana jf furani kwani yaonekana udom ni kero kwa watu wasiohitaji nchi hii iendelee ktk nyanja za elimu.

mkuu kubali kubadilika na tambuwa michango ya hii serikali,si vyema kuendelea kukejeri na kudharau chuo ambacho hata wajukuu wako watakuja kusoma hapo baadae

mapinduziiii daimaaa
 
Hizi ni tetesi Hivyo ukweli lazima utafutwe lakini sio lugha za vitisho na dharau.......Wana JF lazima tuwe wa dadisi vinginevyo itasemekana na itabakia kusemekana na ukweli hauta julikana na taifa lita angamia kwa sababu ya kuachia mambo haya bila kufanyia utafiti na kuwa wazi...... Halafu FFU kubaka mchana sikitu cha kujengea hoja kuwa haiwezekani watu wanabaka kwenye daladala sembuse sehemu zenye vurugu kama hizo .....sianachukuliwa begani mpaka green house (kwenye manyasi) kwahiyo hoja ya kpinga haina mashiko......UDOM hampo hapa JF? tuambieni kinacho endelea.....
 
Back
Top Bottom