Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,237
- 9,868
- Thread starter
- #21
mkuu lazima manesi wajue adui yao mkuu ni viongozi wao ambao wameshidwa kuwatetea kwa miaka mingi na badala yake wanaishia kulipisha leseni na michango mengine ya ajabu ajabu!
Wakati sheria mpya Uuguzi na Ukunga inapitishwa na bunge nadhani 2010(naomba nisahihishwe) akaunti ya baraza la wauguzi ilikutwa hamna hata senti,michango ya leseni za wauguzi mil.300 tsh.zilikombwa zote na viongozi wa baraza lililovunjwa. Kibaya zaidi baadhi ya viongozi walirudishwa kwenye baraza jipya....wapo wanakula bata.