Mgomo wa madereva wa Malori TZ

mmbangifingi

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
2,839
559
Wakuu hali ikoje mpaka sasa kufuatia mgomo uliotangazwa na chama cha madereva wa malori Tanzania (Chamamata)? Kwa mujibu wa mwenyekiti wa chama hicho Bwana Rocket Matogolo based in Tunduma,, ilikuwa waanze leo wakishinikiza mikataba yenye kujali maslahi yao, kama kulipwa posho kwa Dollar inapotokea dereva anasafiri nje ya nchi ama pesa ya nchi anayoenda, pia kushinikiza kima cha chini cha mshahara kisiwe pungufu ya Laki Tano
 
Back
Top Bottom