Mgomo wa madaktari

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,009
9,873
Nimesikitisha na vifo vya raia wenzangu wanaokufa kwa sababu ya mgomo unaoendelea. Lakini nasikitika zaidi kuona serikali kuleta ubabe badala ya suluhu. Kauli za kusema kwamba jumanne madocta warudi kazini hii ni kauli ya kibabe ya serikali huku ikidhihirisha kwamba hawapo tayar kutatua matatizo ya madaktar.
bado nina wasiwasi kwamba je ni kwel serikal inawajal wananchi?kama inawajali kwa nini madocta wasisikilizwe ili kunusuru maisha ya watanzania. Kama ni pesa kwa nini wasiwape, wanapata wapi pesa za kukimbiza mwenge na kufanya sherehe zisizo na maana kama uhuru wa bendera.
mgomo huu una madhara kwa walala hoi. Sasa kwa nini serikal isiwajal madocta ili kumnusuru mwananchi. nnacho jifunza ni kwamba serikal inajal sana wanasiasa,kuliko watu muhimu kama madocta. Wanachofanya madocta sio kizur lakini ndio njia pekee ya kufanikiwa. Mgomo mwema!
 
Back
Top Bottom