Mgomo wa madaktari waathiri shughuli za kielimu muhas

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,978
5,025
Kutokana na hali inayoendele katika hospitali ya taifa kazi ya usomaji imekuwa ngumu kwa wanachuo wa mwaka wa 4 na 5 paoja na postgraduates. Mtaji mkubwa kwa wanachuo ni wagonjwa wanaolazwa mnh na maspeshalist wa hospitali hiyo. Hivyo mpaka sasa hata waliokuwa wanajiandaa na mitihani yao hawajui nini kitafuata ndani ya hizi siku amazo kuna danadana za utatuzi wa hili suala huku wanasiasa wakiona nidharura kujadili marekebisho ya katiba kuliko suala la mgomo. Hata hivyo kuna tetesi kuwa huenda masomo yakaahirishwa mpaka hali itakapotengamaa. This is my observation.
 
Back
Top Bottom