Mgomo wa madaktari - Updates

Dr Wangu wa Muhimbili anasima

"" mgomo hakuna watu wanaendelea na kazi kama kawaida vikao bado vinaendelea"" mwisho wa kunukuu

Sasa tumuamini Doctor wa wapi??? maaana mgomo hakuna:juggle:
Acheni kutuchanganya! Leteni taarifa zillizotafitiwa!
 
naam! furaha kwa wauza majeneza manzese.
furaha kwa familia ya ikulu bilshaka kuona maskini wakizidi kupungua maana wanapiga sana makelele wakati wa maakuli.
tupe update mkuu. nahisi kikao kizito cha ikulu ni chakujipongeza, wanaokufa ni maskini wanaopiga kelele kila siku njaa njaa, watasaidia kuwapunguzia makelele ikulu.
 
Muafaka ulipokuwa umefikia hatukuhitaji mgomo mwingine hawa madaktari ni wakorofi. serikali ilishaonyesha kunyoosha mikono na kushughulika kwa haraka

Kusua sua kwa serikali yenu tukufu ndo kumesababisha yote haya
 
Madaktari wengi wana tabia mbaya wanatoa huduma mbovu lakini leo wanasema wanahitaji vifaa kwa ajili yetu wagonjwa wakati hata huduma ya mdomo tu wanashindwa kwa wagonjwa. Mgomo ni wa kulilia maslahi yao si vifaa vya wagonjwa wangeanza na huduma bora.
 
Siungi mkono mgomo kwa sababu najua madhara yatakayo tokea kwa masikini wasio na hatia lakini pia nadhani ni fundisho kwa viongozi wetu ambao wanafanya kazi kwa mazoea na kutotaka kushughurikia matatizo mpaka maafa yatokee ndio wanakurupuka. Hofu yangu ni kwamba suala la madaktari likiisha sector nyingine nayo itatangaza mgomo maana walimu wapya walioajiriwa hivi karibuni kuna sehemu nyingi tu za nchi hawajalipwa stahili zao mpaka wengine wameamua kurudi nyumbani.

Ila unaunga mkono ufisadi unaoua walio wazima na wagonjwa at a go!
 
ni lazima mbwa(serikali ya mafisadi) waboreshe huduma za afya Tanzania, kama serikali ina uwezo wa kununua utitiri wa mashangingi na kufanya anasa tele inashindwa nini kununua vitanda vya wagonjwa,dawa , vifaa nk kwenye mahospitali? Nyambaf kabisa serikali hii!!
 
wauaji wanakuja na mgomo wa pili hakuna wanachopoteza ndugu zetu ndio watakufa, msiba mwingine mkubwa kwa taifa unakuja.
wauaji ni wale wanaotaka madaktari wakafanye kazi bila vitendea kazi ili waatarishe afya zao na za wagonjwa ili wote kwa pamoja wafe kwa maradhi, huku wao wakienda kutibiwa na madaktari wenye vifaa.
 
Taarifa zilizonifikia kutoka vyanzo vya kuaminiaka bugando wamebandika tangazo likisomeka hivi

"KUTOKANA NA SERIKALI KUTOKUWA TAYARI KUSHUGHULIKIA MADAI YA MADAKTARI IPASAVYO SISI MADAKTARI TUMESIKITISHWA SANA. KUANZIA LEO TAREHE 7 MACHI 2012 SAA 2; 00 ASUBUHI,MADAKTARI WA HOSPITALI YA BUGANDO TUNASITISHA KUTOA HUDUMA ZOTE MPAKA HAPO SERIKALI ITAKAPOSHUGHULIKIA MADAI HAYO.
JUMUIYA YA MADAKTARI BUGANDO (INTERN,REGISTRARS,RESIDENTS)
NAKALA KWA WAKUU WA IDARA,UTAWALA BMC"

MUHIMBILI
EMD-KITENGO CHA WAGONJWA WA DHARURA KIMEFUGWA

OPD-WAGONJWA WAMEJAA LAKINI HAWAONI

THETRE HAZIFANYI KAZI NA MASPECIALIST WAPO RUSSIAN CULTURE TO PUT LAST NAIL IN THE COFFIN

AMANA
TOTAL TOOLS DOWN

MBEYA
WANAENDELEA PALE WALIPOISHI MAANA MGOMO KAMA KAWA

KCMC
MADAKTARI KUTOA TAMKO MUDA SI MREFU

Ikulu kuna mkutano mkubwa unaendelea nitato updates bdae

Thanks kwa update mkuu,huko makini sana sio porojo porojo za kina fulani,u re a real great thinker,thanks again
 
Serikali ya kihuni kweli hii, mi cna ham walivo mabingwa wa kuahid mambo wasiyoyatekeleza!Maneno meng kulko vtendo duuh, pole wte watz mahohehahe ka mim!WALIDHANI UWAZIRI NDO KULA UBWABWA?Pumbaf zao wte wafie hko
 
Madaktari wengi wana tabia mbaya wanatoa huduma mbovu lakini leo wanasema wanahitaji vifaa kwa ajili yetu wagonjwa wakati hata huduma ya mdomo tu wanashindwa kwa wagonjwa. Mgomo ni wa kulilia maslahi yao si vifaa vya wagonjwa wangeanza na huduma bora.
Povu lako wala halisaidii kitu kwa sasa manake mgomo ndio umeanza hivyo!
 
Madaktari wetu wanatumiwa na vyama vya siasa, mgomo huu ni wa kisiasa zaidi kuliko masilahi. Madaktari hawana uwezo wa kupanga baraza la mawaziri, kazi yao ni kutibu. Inanisikitisha sana kuona madaktari wetu wanafanya upuuzi kama huu.
 
....IzeGREAT think zat mayb its tm 4ze people hu wil b luzin zer belovd ones in zis strike2take action and stand up wiz ol ze Doctors ol ova ze Country and show our CCM-gavament zat ''..if citizens kept zem in zeir ofices,zen zei can remove zem frm zer..'',but since CCM-gavament along wiz zer preisednt knwz zat ...''no citizen kept zem zer but raza zer pawa of mchakachuo...'' zei ar NEVER GONA BACK DOWN,wiza pipo ar gona luz zeir relatives and frndz as long as AIRPORT STL WORKS SO ZEN ZEI CAN TRAVEL2INDIA ANY TIME ZEI GET FLUU...,bigest mistake was2even alow zem2go2ze IKULU in 2010..,kila m2anaishi kwa profesion yake,kazi za wito ndo zinazothaminiwa,kama huamini angalia viongozi wote wa dini jinsi wanavothaminiwa na waumini wao and see ze way zei live socially...,vp kwa Daktari asiye hata na glovz ktk chumba cha upasuaji,..nazani wanaojua ni magonjwa mangapi yanaambukizwa kwa blood na ambayo ni very deadly wananipata except kwa wale walio2mwa ha2kuwa sawa.....MAY GOD HAV MERCY UPON OL OF US B4WE FALL INTO PIECES....
 
Pinda kasema madakatari wameshika mpini serikali imeshika makali lakini isiwe sababu ya kutokaa meza moja kwa mazungumzo kuangalia wapi hakujawa sawa.
 
wafuasi wa chama cha maandamano wanafurahi sana kuona nchi inatikisika kwa mgomo huku watu wanakufa.
 
Madaktari wasio na fikira. Hao hukumu yao kuuliwa kwa kila kifo cha mgonjwa kitakachotokea wakigoma.

Mara ya mwisho wewe kutibiwa hospitali lini? Hakuna dawa wala vifaa tiba. Kwa mtu anayeipenda kazi yake hawezi kukaa kazini huku wagonjwa wakimfia machoni kisa selikari imelala tu, waziri wa afya na makamu wake wako wapi dawa na vifaa vinaisha? Kubaki kazini bila kutoa huduma ni aibu kwa taaluma ya udaktari, bora wagome.
 
Back
Top Bottom