Mgomo wa Madaktari: Serikari ilaumiwe

magistergtz

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
282
56
Ndugu wasonaji inashangaza sana kuona watu wanawalaumu madaktari kwa kugoma.
Chanzo cha huu mgomo na hata migomo mingine kama ya wafanyakazi wa TRL na vyuo vikuu ni ubaguzi wa serikali ya ccm.
Haiingii akilini mwa mtu makini kuona serikali inashindwa inagoma kulipa hela au kuongeza malupulupu ya watumishi wake ( wasio wanasiasa) huku kula siku wao ( wanasiasa) wakijipandishia maposho.
Ni kejeli kubwa tena usaliti kuwanyima madaktari hela za kukidhi mahitaji yao au kuwanyima/ kuwacheleweshea interns posho ( kumbuka interns hawana mishahara) kwa kisingizio cha kukosa hela au umaskini wa nchi, wakati huo huo wanasiasa wanajipandishi posho.
Hata hivi juzi JK ameenda Davos kwa milioni 300 kuomba wahisani waongeze hela ili akirudi wabunge na mawaziri waongezewe posho.
Ktk mazingira haya, hakuna sababu inayokubalika kwa watumishi wa chini ktuboreshewa hali za maisha
 
Ndugu wasonaji inashangaza sana kuona watu wanawalaumu madaktari kwa kugoma.
Chanzo cha huu mgomo na hata migomo mingine kama ya wafanyakazi wa TRL na vyuo vikuu ni ubaguzi wa serikali ya ccm.
Haiingii akilini mwa mtu makini kuona serikali inashindwa inagoma kulipa hela au kuongeza malupulupu ya watumishi wake ( wasio wanasiasa) huku kula siku wao ( wanasiasa) wakijipandishia maposho.
Ni kejeli kubwa tena usaliti kuwanyima madaktari hela za kukidhi mahitaji yao au kuwanyima/ kuwacheleweshea interns posho ( kumbuka interns hawana mishahara) kwa kisingizio cha kukosa hela au umaskini wa nchi, wakati huo huo wanasiasa wanajipandishi posho.
Hata hivi juzi JK ameenda Davos kwa milioni 300 kuomba wahisani waongeze hela ili akirudi wabunge na mawaziri waongezewe posho.
Ktk mazingira haya, hakuna sababu inayokubalika kwa watumishi wa chini kutoboreshewa maslahi. Ubaguzi, ufisadi na kutotambua mchango wa kada za ualimu, udaktari na nyingine za wanyonge zaidi ya wanasiasa ndo tatizo.
Kama sehemu ya kudhihirisha haya, ni mara nyingi na ishazoeleka hivo kwamba kwamba bila wanafunzi vyuoni kugoma hawapewi hela za kujikim. Hii ni tabia mbali tunayowajengea wanetu na wadogo zetu.

Kwa pamoja wananchi tuwaunge mkono madaktari ktk mgomo wao. Mungu ibariki Tanzania, Mungu iepushe nchi yetu na CCM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom