Mgomo wa madaktari ni utovu wa nidhamu - Kibonde wa clouds FM

Wakuu kwanza nitangaze interest nimemsikia huyu kibogoyo(kibonde)kwa bahati mbaya tu nilikua kwenye daladala!
Huyu kenge ni mpumbavu sana hivi anasema ma dr hawana akili je anaweza kujilinganisha na dr yeyote kati ya hao? Ni watu na elimu zao,asifikiri yeye mwenye elimu ya kuungaunga nasikia pia uandishi huo wa habari kasomea kile chuo cha buguruni.sasa wenzake wote wana vyeti asifikiri ni walamba viatu kama yeye! Alafu ni kama kizazi chake kimelaaniwa vile kuna mtoto wake anaitwa fabian ephraim kibonde ameshalist form 4 mara tatu na kila mara amekuwa akiambulia f tu(unaweza kugugo jina hilo)sasa huyu jamaa anaitaji asikiwe na watawala walau apewe kukata nyasi pale magogoni.pumbavu na utachomwa mafuta ya taa wenzio wanauwezo kwenda india
 
huyu anaugonjwa wake ngoja tu siku ataenda labda abadilishe jina natamani achomwe sindano hadi awe anachechemea
 
Tumsamehe huyu MC wa CCM...Namuhurumia kijana km huyu kutumiwa na mwanamme mwenzake RUGE....Hamtamshangaa siku mkimsikia anatetea haki zao za mashoga ktk kipindi chake ambacho hua ni kuchekacheka tu sijui jamaa hua apo anamtekenya....So ndo tabia zao hao TIGO ndo inamuweka TOWN
 
wala hajakosea Kibonde ni kweli ni utovu wa nidham tena wa hali ya juu, PM kakubali kuongea nao baada ya wao kumkataa B N na waziri, wakamtaka yy, kakubali af wanaleta hoja za kitoto eti awaandikie barua kuwaomba waende, wao walipomtaka waliandika barua, matatizo yao af awapigie magoti? utoto huo au wasipoenda kuongea nao matatizo yao yataishaje ss,
 
Hivi kwanini tunapoteza muda wa kujadili upupu wa kibonde.kwanini watu hamumzoei huyu kiazi ni mtu ambaye hajitambui,tumsamehe bure.
 
hivi huyu kibonde anaishi dunia ipi, nimetamani kuizima radio yangu kutokana na maneno yake ya kipuuzi. Anadai eti kugoma kwao madaktari ni utovu wa nidhamu kwa waziri mkuu mpaka wenzake akina Mwabulambo na Kayanda wanamshangaa

Huwa anaropoka tu huyu mpuuzi anajifanya anajua kila kitu ., ni wa kumpuuza tu huyu
 
Kwa lugha ya kwetu(isiyo rasmi lakn) kibonde ni mtu mwenye akili finyu,....anyway hata yeye analijua hilo maake kwetu ku_moja,...shame on him

kuna kitu inaitwa KUBLER ROSS. Huyu jamaa inamkabili ndo maana maongezi yake mengi ni ya aina hiyo. He is fighting. Isome aafu usiniulize kwa nini nimesema hivyo!!
 
Mambo yote mazuri huanzia pagumu. Ninaamini hapa walipoanzia madaktari pataonyesha njia kwa watu wengine wenye fani zao kudai haki zinazoendana na jasho lao. Hivi wabunge wana fani gani hasa? Mbona wao wanajimegea maposho tu! Hivi watu walioko kwenye bodi za mashirika ya Umma (ambao wengi ni wastaafu) .... mnajua posho wanazojimegea.

Jamani waacheni madaktari watoe dukuduku lao .....
 
Hivi CV ya huyu mtu ipoje,maana watu wasije comment kumbe mtu yenyewe ubonge wake haujakomma.Mwenye CV ya Kibonde,tafadhali aiweke hapa.
Kibonde ni nani?,katokea wapi?, Imekuwaje kuwaje hadi awe mtangazaji Clouds?

waliwahi bandika matokeo yake pale udsm,...kwa kifupi jamaa ni kilaza wa kutupwa.
 
Huyu kibonde c ni shoga, yeye kwasababu analelewa na ruge kwa kupiga umbeya unadhani analipi la kusema zaidi ya upupu tu? Akawe yeye basi daktari ili asigome, kwani alitumwa akimbie math, phy na bios na kwenda kusomea huo udaku wake anaouleta sasa. Poor kibonde , poor clouds fm.

Ndugu usifikiri watangazi wa clouds wamesomea,la hasha ni ukanjanja tu ndio maana hawawezi kwenda kuomba kazi sehemu zingine.
 
Mtu anayeishi mjini kwa kutegemea kusifia watu hawezi kuwa na muda wa kufikiri jambo mara mbili,kibonde ni aina ya watu wa aina hii.Aonacho yeye ni utovu wa nidhamu hili ni tatizo kwa watu waliojiwekea mipaka ya kufikiri na wazandiki.Anapaswa kujua njaa yake yeye inapatiwa suluhu na anaowasifia bali sisi watz wazalendo tunapata mahtaji yetu mhm kwa kufanya kazi kwa juhudi,maarifa yetu na nguvu sana,tunatoka majumbani saa11:30 alfajiri ili kuwahi foleni na tunafanya kazi na kurudi saa3-4 usiku daily,asijilinganishe nasi.amechoka kifikra kibonde tumuombee apate kuona vema!
 
[/QU Ndugu! It is unfortunate watu wanamsikiliza huyu kilaza,elimu yake ya kubabaisha babaisha haitoshi kujadili mambo anavamia tu! Unfortunately further,anayo mic kama silaha yake,angesoma kwa ufasaha asinge-bore wasikilizaji wake,kwa vile anauza sura na kupaja visenti anadhani anaweza kupiga kelele, professionalism ni kitu kingine
 
they said..., he who laughs last laughs longest...., kibonde soma alama za nyakati.., there is a tornado of change coming, sjui utaficha api huo msura wako.by the way, walisema pia, usitukane wakunga wakati uzazi ungalipo
 
Nijuavyo mimi,Kibonde ni mshindani ambaye huwa hapewi nafasi ya kushinda,na akishinda ni surprise.Kwa hiyo,Kibonde anayoongea radioni ndiyo aliyotarajiwa kuongea(upuuzi) kulingana na maana ya jina lake.Si tumewahi kusikia mtoto ukimpa jina huenda akawa na tabia za jina?Na akiongea tofauti ndio tumshangae!
 
hivi huyu kibonde anaishi dunia ipi, nimetamani kuizima radio yangu kutokana na maneno yake ya kipuuzi. Anadai eti kugoma kwao madaktari ni utovu wa nidhamu kwa waziri mkuu mpaka wenzake akina Mwabulambo na Kayanda wanamshangaa

Anajigonga ili kesho keshokutwa awe mkuu wa wilaya kama Halima Kihemba. Hajui wenzake walibanduliwa kwanza
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom