Mgomo wa madaktari ni utovu wa nidhamu - Kibonde wa clouds FM

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,750
hivi huyu kibonde anaishi dunia ipi, nimetamani kuizima radio yangu kutokana na maneno yake ya kipuuzi. Anadai eti kugoma kwao madaktari ni utovu wa nidhamu kwa waziri mkuu mpaka wenzake akina Mwabulambo na Kayanda wanamshangaa
 
Kwa lugha ya kwetu(isiyo rasmi lakn) kibonde ni mtu mwenye akili finyu,....anyway hata yeye analijua hilo maake kwetu ku_moja,...shame on him
 
Hivi CV ya huyu mtu ipoje,maana watu wasije comment kumbe mtu yenyewe ubonge wake haujakomma.Mwenye CV ya Kibonde,tafadhali aiweke hapa.
Kibonde ni nani?,katokea wapi?, Imekuwaje kuwaje hadi awe mtangazaji Clouds?
 
Ngoja upate ajali uende pale muhimbili ndio utajua kibonde anaishi dunia gani?

Hivi ukimfumania mkewako utam kill yeye tu Au utaua na Watoto pia?

Watafute Njia nzuri yakupata nyongeza na sio kuathiri maisha ya watu wengine.
 
nilifikili labda ulienda kunywa soda sehemu, daladala au gari ya jamaa yako, kumbe radio yako mwenyewe!?

Sisi tuko huku mbali lakini nasikia watu wengi ninaoongeaga nao huwa wanatwambia kuwa walishaachaga muda mrefu kuisikiliza na hasa kipindi cha huyo jamaa unayemsema.

Kwana huyo jamaa (Kibonde) fani yake ni nini mpaka awaseme madakatari, ni engineer au naye kasomea udaktari kabla ya kuwa mtangazaji!???
hivi huyu kibonde anaishi dunia ipi, nimetamani kuizima radio yangu kutokana na maneno yake ya kipuuzi. Anadai eti kugoma kwao madaktari ni utovu wa nidhamu kwa waziri mkuu mpaka wenzake akina Mwabulambo na Kayanda wanamshangaa
 
Jamanieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,msipoteze muda wenu,Kibonde ni nani,katokea wapi na imekuwaje kuwaje hadi awe mlopokaji hivyo?
 
nilifikili labda ulienda kunywa soda sehemu, daladala au gari ya jamaa yako, kumbe radio yako mwenyewe!?

Sisi tuko huku mbali lakini nasikia watu wengi ninaoongeaga nao huwa wanatwambia kuwa walishaachaga muda mrefu kuisikiliza na hasa kipindi cha huyo jamaa unayemsema.

Kwana huyo jamaa (Kibonde) fani yake ni nini mpaka awaseme madakatari, ni engineer au naye kasomea udaktari kabla ya kuwa mtangazaji!???

Nilikuwa natafuta station nikakutana naye ikabidi nimsikilize kidogo ndio nikasikia pumba zake
 
wakuu mwenye numba ya simu ya hicho kipindi aiweke hapa,tumjibu hoja uchwala zake!!
 
Huyu Kibonde sijui anatafuta cheo gani serikalini. Yaani anaongea upupu kuliko unavyoweza kumfikiria
 
hivi huyu kibonde anaishi dunia ipi, nimetamani kuizima radio yangu kutokana na maneno yake ya kipuuzi. Anadai eti kugoma kwao madaktari ni utovu wa nidhamu kwa waziri mkuu mpaka wenzake akina Mwabulambo na Kayanda wanamshangaa

wenye skuli za kuungaunga bongo ni tatizo sana! hawawezi ku argue hata kidogo!
 
Namuunga mkono Kibs 200%.
Walichofanya madaktari ni zaidi ya utovu wa nidhamu. Ni utoto!
Inawezekana ni kweli wana madai ya msingi.
Walikataa katakata kuonana na mtu mwingine yoyote isipokuwa mtoto wa mkulima.
Pinda huyooo kachomoza tar.29, madaktari hawapo!
Wamekula mpenyo na kumeza uchochoro,

Pinda kabaki pekeyake,madaktari hawapo!
Kwann asipande kwenye maik?
Ana sababu gani asiitendee haki maik?
Kasema aliyosema, hakuna wakumbishia.
Waliopaswa kubishana nae wamemkimbia.

Kwann wananchi tusimsikilize na kuyaamini yale anayoyasema Waziri wetu mkuu Pinda.
Yes, madaktari si wamekimbia?
Madaktari acheni porojo na kudanganyana, rudini kazini!
 
hivi huyu kibonde anaishi dunia ipi, nimetamani kuizima radio yangu kutokana na maneno yake ya kipuuzi. Anadai eti kugoma kwao madaktari ni utovu wa nidhamu kwa waziri mkuu mpaka wenzake akina Mwabulambo na Kayanda wanamshangaa

msamehe hajui asemalo...tungeshamzika huyo bila sapoti ya doctors walioamua kujitolea wakati ule hajafunguka moyo
 
Kweri binadamu hawana shukrani,pamoja na hawa madaktari kumpa ushauri nasaha wa kuishi kwa matumaini,na kumpa maelekezo ya kutumia Arvs leo anawaita wajinga..
 
Ngoja upate ajali uende pale muhimbili ndio utajua kibonde anaishi dunia gani?

Hivi ukimfumania mkewako utam kill yeye tu Au utaua na Watoto pia?

Watafute Njia nzuri yakupata nyongeza na sio kuathiri maisha ya watu wengine.

kwani mpk sasa hivi umeona mtz yoyote aliyeshinikiza serikali kusikiliza madaktari wote tunaöngea kichinichin then kimya chetu means tuko poa na huo mgomo! Kama ungetugusa watz tungehakikisha govt inajibu hoja zao.
 
Watanzania waepukeni sana Watangazaji na waandishi wa Habari kama FM _ Kibonde kwani wanajipendekeza sana kwa Serikali ya CCM, RAIS na Waziri Mkuu na hivyo kutumika katika kuwagawanya Watanzania kupita vyombo vya habari kama Clouds FM. Ona sasa FM Kibonde na Clouds FM wakiwasaliti na kuwakaanga Madaktari waliopo kwenye Mgomo kupitia kipindi maalum cha Jahazi; Kibonde anachangia hoja akionekana kabisa kupendelea upande mmoja wa Serikali na Pinda na kuwaponda sana Madaktari.

Hakika Waandishi wa Habari kama Kibonde ni vilaza na kuwaepuka kabisa kwani ni hatari kwa Taifa na kufanikisha nguvu ya UMMA katika kudai haki.

Nawasilisha.
 
Ol i know is dat kibonde lacks cognitive competence xo can't waste much tym discussin such a lunatic wit lots ov lunaces......
 
Ol i know is dat kibonde lacks cognitive competence so
I can't waste much tym discussin such a lunatic wit lots ov lunaces......
 
Back
Top Bottom