Sun Tzu
Member
- Mar 2, 2010
- 78
- 23
Madaktari.
Mgomo wa Madaktari ni Uhaini. Legacy of Ashes at Work! inawezekana vipi Daktari aliyeapa kuokoa maisha akawa mstari wa mbele katika kuangamiza maisha?
Acheni siasa okoeni maisha, msije kujikuta mnatumiwa kufanikisha uhaini kwa faida ya watu wengine.
Je akija emergency dada yako au mkeo au nduguyo yeyote yupo labour unataka iweje afe? Je watanzania wengine wao ndiyo wana haki ya kufa kwa kukosa huduma?
Je akija mtoto mdogo ameungua na maji ya moto au kagongwa na gari upo tayari afie hopsitali kwasababu ya vijisenti unavovyodai, Je akiwa mtoto wko utafanya nini? Je fedha ni bora kuliko maisha? Je ubinadamu upo wapi? Je Professionalism ipo wapi?
Tuwe wakweli na tuweke uzalendo mbele, achaneni na siasa fanyeni kazi kwa wale wanaotaka siasa 2015 watafute majimbo.
Acheni unafiki na ujinga wa kuweka maslahi yenu mbele kwanza! Kama wazazi wenu wangeweka maslahi yao mbele wengine msingezaliwa kwani wangeendelea kula nchi. Na kama wakunga waliowazalisha au madaktari waliokuwepo zamu siku mlipozaliwa wangegoma leo mngekuwepo!
Kazi kwanza siasa waachineni wanaoziweza. Msitumiwe, na msikubali kutumika kisiasa, 'ONLY FOOLS CAN DO AND ACCEPT THAT!
Don't hold Tanzanians hostage because you are selfish and have no morals! Save life and you will receive devidends and comand respect for your profession ans above all you will uphold and save humanity!