Mgomo wa madaktari, natamani LOWASA wakati huu angekuwa Rais au Waziri Mkuu

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Madaktari wanagoma sasa, wanagoma wakiwa na madai ya msingi mikononi mwao. Lakini wakati mgomo unapamba moto, roho za raia na wananchi ziko mashakani.

Juhudi za serikali kutatua mgogoro huo na kumaliza tatizo zinakwenda taratibu kwa mwendo wa kinyonga mlemavu. Mgomo wa madaktari ni hatari kuliko aina zote za migomo kwa sababu unagusa moja kwa moja uhai wa wananchi.

Suala hili linahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu. Wala siyo watu wenye dharau za kiutendaji kama JK na wasaidizi wake. Natamani sana kipindi hiki LOWASA Ndiyo angekuwa Rais au Waziri Mkuu. Bila ya shaka angechukua maamuzi magumu na tatizo hili lingekuwa mfano wa chai ya baridi kwake. Nani mwingine?

Nani mwingine mwenye uthubutu na roho ngumu ya maamuzi kati ya waliopo CCM sasa zaidi ya mchapakazi LOWASA anayetetea maslahi ya wanyonge? Huu ndiyo ukweli japo wenye akili zilizopiga sarakasi watapinga na kudai nimevuta bahasha kama kawaida yao.
 
Tired na hizi crap za Lowassa!
Mods kama vipi unganisha hii hread na zingine zinazohusu mada husika
 
Mkuu huna kitanda cha kujipumzisha akili ikichoka. Kama huna muda wa kuchangia si unapotezea tu kwani umeshikiwa panga?
 
Umenena vema juu ya habari zako kwa kunitumia kama mfano!
Hizi habari za kutumika kama kondom za msaada zinakera sana watu wazima!!!
 
Madaktari wanagoma sasa, wanagoma wakiwa na madai ya msingi mikononi mwao. Lakini wakati mgomo unapamba moto, roho za raia na wananchi ziko mashakani.

Juhudi za serikali kutatua mgogoro huo na kumaliza tatizo zinakwenda taratibu kwa mwendo wa kinyonga mlemavu. Mgomo wa madaktari ni hatari kuliko aina zote za migomo kwa sababu unagusa moja kwa moja uhai wa wananchi.

Suala hili linahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu. Wala siyo watu wenye dharau za kiutendaji kama JK na wasaidizi wake. Natamani sana kipindi hiki LOWASA Ndiyo angekuwa Rais au Waziri Mkuu. Bila ya shaka angechukua maamuzi magumu na tatizo hili lingekuwa mfano wa chai ya baridi kwake. Nani mwingine?

Nani mwingine mwenye uthubutu na roho ngumu ya maamuzi kati ya waliopo CCM sasa zaidi ya mchapakazi LOWASA anayetetea maslahi ya wanyonge? Huu ndiyo ukweli japo wenye akili zilizopiga sarakasi watapinga na kudai nimevuta bahasha kama kawaida yao.

Mkuu watu wote wa Jk na wateule wake ni hovyo_na zaidi kiranja mkuu Pinda,....subiri madaktari wakishikilia uzi wao,...atalia muda si mrefu,....anapenda sana kuonewa huruma
 
Pamoja na huyo EL... ni hovyo na hatari...ni kama panya anaye uma na kupuliza!!!
 
Mkuu Jumakidogo. Nakubaliana na wewe kwamba ktk viongozi walioko CCM sasa ni Lowassa mwenye ujasiri wa kufanya maamuzi na mchapa kazi. Toka ameondoka serikalini,ombwe kubwa la kiungozi limejitokeza wazi.
 
Madaktari wanagoma sasa, wanagoma wakiwa na madai ya msingi mikononi mwao. Lakini wakati mgomo unapamba moto, roho za raia na wananchi ziko mashakani.

Juhudi za serikali kutatua mgogoro huo na kumaliza tatizo zinakwenda taratibu kwa mwendo wa kinyonga mlemavu. Mgomo wa madaktari ni hatari kuliko aina zote za migomo kwa sababu unagusa moja kwa moja uhai wa wananchi.

Suala hili linahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu. Wala siyo watu wenye dharau za kiutendaji kama JK na wasaidizi wake. Natamani sana kipindi hiki LOWASA Ndiyo angekuwa Rais au Waziri Mkuu. Bila ya shaka angechukua maamuzi magumu na tatizo hili lingekuwa mfano wa chai ya baridi kwake. Nani mwingine?

Nani mwingine mwenye uthubutu na roho ngumu ya maamuzi kati ya waliopo CCM sasa zaidi ya mchapakazi LOWASA anayetetea maslahi ya wanyonge? Huu ndiyo ukweli japo wenye akili zilizopiga sarakasi watapinga na kudai nimevuta bahasha kama kawaida yao.
Umeona ehe!.
 
pamoja na mapungufu ya Edward Ngoyai Lowasa, hii mada ipo sahii kabisa
 
Kwa hiyo unataka kutuambia LOWASA ni kiongozi REACTIVE na sio PROACTIVE.

  • kawa waziri mkuu kwa miaka mingapi.?
  • Akiwa waziri mkuu migomo mingapi imetokea na nini kilifanyika? Walimu, madaktari,etc
  • Lowasa Akiwa waziri mkuu amesaidia nini au alifanya kufanya ajira na kazi za watendaji zinalipa zaidi na maslahi makubwa kuliko za siasa ?.....
Tanzania inataka kiongozi PROACTIVE wa kuzuia matatizo kabla hayajotea na sio wanasiasa wa kutafuta umaarufu kwenye migomo na misiba.

Sasa ebu tuambie engekuwa Lowasa nini kingefanyika
 
pamoja na mapungufu ya Edward Ngoyai Lowasa, hii mada ipo sahii kabisa

shetani ni shetani tu haijalishi anamguu mmoja ua jicho moja akitaka kukudhuru anakudhuru kama kawaida, uzuri wa lowasa ni upi na mnafananisha na ubaya wa nani? hao wote meli moja isipokua section tofauti ikizama anatoka fundi mkuu anamsema captain na nyinyi abiria mnashabikia pasipokujua kuwa ili meli iende ni lazima timu ikamilike kuanzia captain hadi mfanya usafi sasa nani anajiona ni msafi kuliko mwingine? au kwa nini fundi mkuu aonekane bora kuzidi captain?
 
Kweli Watanzania tumelogwa.Amekuwa kiongozi kwa muda mrefu na kashfa nyingi, hafai kuwa kiongozi.Then kuna kikundi kinafadhiliwa kinapotosha watz kwa kampeni chafu kuwa atakuwa kiongozi hodari.HATUFAI HUYU MTU.
 
ni kweli mkuu;ukweli unauma na ndio maana tunajaribu kuutetea kwa nguvu zetu zote dhidi ya upotoshaji wa makusudi unao fanywa na vibaraka vya el hapa

Wewe unatetea ukweli wa imani yako juu ya Lowasa. Nani anakutuma? Nami natetea ukweli wa imani yangu kuhususu Lowasa. Unaamini kuwa nawapotosha watu kwa kumsifia Lowasa. Nami naamini kuwa unawapotosha watu kwa kumwita Lowasa fisadi. Tusonge mbele! Kila mtu kati yetu abaki na imani yake.
 
lowassa ana matatizo makubwa. lakini angeweza fanya kitu kuliko hawa kina pinda walio wapuu. ivi pinda watu wako kwenye mgomo siku ya pili waziri mkuu hajui hoja au ajenda za madaktari. upuuz mtupu.
 
Na sie watanzania tuwe tunaangalia mbele jamani,kila siku halikosi jina Lowasa humu ndani!
Hata kama ni mzuri au ni mbaya! Akubali na sie tukubali kama waziri mkuu wa Japan, his time is over and over!kesha zeeka! Nchi inataka viongozi wenye nguvu mana matatizo yetu ni mengi mno!
Kwa nini kunga'ng'ania mababu? Cheki US,UK,France,etc then cheki Kenya (75), Uganda(71),Zimbabwe(88),Zambia(72),etc mababu vs hali za nchi!!

Kila enzi na wakati wake mie nampenda ila anapendeza kuwa mzee wa Kanisa
 
Back
Top Bottom