nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,273
- 3,750
Pesa za MoU zirudi kuwalipa madaktari huo ni ushauri wangu kwa Kikwete hayo mengine yako wewe, si yangu mimi.
Hivi serikali imejenga hospital ngapi kama siyo kusaidiwa na mashirika ya dini ya kikristo. Sasa kama unataka serkali ya JK iondolewe madarakani mshauri auvunje