Na wewe umedanganyika kuwa Magufuli ni mchapakazi? Huyo ni popularist tuNyie si ndo mliopasua kichwa cha mgojwa kuunga mguu ulovunjika? Then mkachana mguu wa mgonjwa mwingine ili mumfanyie operation ya kichwa,hapo ingependeza wazir awe pombe magufuli au steven wasira ili washrikiane na mama nyoni kuwanyoosha,iweje mng'ang'anie kubaki muhimbili kwan huku mikoani tulipo kodi yetu haichangii kwenye mishahara yenu!!
MwekezajiMzawa acha kuleta pumba na mzaha kwenye swala linalogusa mstakabali wa Taifa. Siyo lazima u comment, waweza soma na kupita tu
Nyie si ndo mliopasua kichwa cha mgojwa kuunga mguu ulovunjika? Then mkachana mguu wa mgonjwa mwingine ili mumfanyie operation ya kichwa,hapo ingependeza wazir awe pombe magufuli au steven wasira ili washrikiane na mama nyoni kuwanyoosha,iweje mng'ang'anie kubaki muhimbili kwan huku mikoani tulipo kodi yetu haichangii kwenye mishahara yenu!!
Hivi kuna tatizo gani Blandina Nyoni kutumia lugha ya hekima kudeal na hawa ma daktari?
Hivi hii yote ni jeuri ya pesa alizotengeneza kuitapeli serikali alipoiuzia kwa bei ya kutisha ile software ya ASYCUDA?
Bongo doctors have no moral support to Tanzanians, kama mimi ningekuwa mkuu hapo wizarani I could have f.....d them all these creatures, you are doing nothing at our hospitals. Tunawalipa hela yetu kwa kodi zetui hata hicho kidogo but once you get in their working environment utasikia mara doctor yupo wapi sijui mara njoo kesho, mwezi ujao mara....................wanapusua miguu badala ya vichwa...............mara tunawapa viongozi masaa sijui........hey! hata mtiacha kazi sawa tu hamna msaada better we die............nyie nani, what are you doing? better to pay good salaries those teachers down there than doing it to these creatures!
Ngumijiwe na Njiwa. Yule dokta anaitwa nani?Mkuu,
Labda ungesema hao ni ma surgeons wa Tanzania tu na hata hivyo bado nina mashaka na majibu yako.
Mfano yule Dr.Masau wa THI ni cardiosurgeon, sivyo? Kwahiyo Dr. Masau yeye hana shughuli nyingine,isipokuwa ni kupokea watoto ambao tayari wanakuwa diagnosed na heart defects na kuwafanyia upasuaji tu.Dr.Masau hajasomea kujua dalili wala kumfanyia uchunguzi mtoto aliyezaliwa na ugonjwa wa moyo na wala hapaswi kufanya hivyo maana yeye kazi yake ni kusoma file la mgonjwa na kupasua tu.
Dr.Masau akiletewa mtoto mwenye tatizo la moyo,hana sababu ya kuchukua historia na kumfanyia uchunguzi kwanza ili kujua tatizo hasa ni nini,isipokuwa yeye hukubaliana tu na report ya daktari aliyemu attend yule mtoto na ku recommend upasuaji wa moyo.
Sitaki kuamini kuwa hivi ndivyo wanavyofanya kazi ma surgeons wetu. Vinginevyo basi tuna tatizo, tena kubwa sana!
mkuu hii serikali ni dhalimu sana, hivi wasipowapa ma Dk pesa zao wanadhani hawa Dr's watakula wapi?Everybody,
Unaweza ukawa sawa kuwa serikali haina pesa ya kuwalipa madaktari stahiki zao, ila ukumbuke kuwa ni serikali hiyo hiyo ambayo inawalipa wabunge kwa siku moja kiasi ambacho ni mara 20 ya kile anacholipwa daktari anapofanya kazi kwa masaa 24 huku akiwa amefanya operesheni zaidi ya 15 za akina mama wajawazito ndani ya masaa hayo, na tena wengi wao wakiwa na maambukizi ambayo yanaweza hamia kwa huyu daktari kiurahisi tu.
Tusishabikie mambo ambayo hatuyajui, kwa kuwa hujawahi fika hospitali ukaona hali ilivyo mbaya kwa hawa watumishi na unaishia kwenye key board tu ukiwa na conclussion yako. Sio lazima uchangie kila kitu, hususan yale usiyoyajua. Hawa watu wanafanya kazi ya hatari sana,..kazi ambayo haiwezi lipwa kwa kiasi chochote cha fedha,..ila tunawadhalilisha ikiwa tunashindwa kuwapa hata kile kidogo tu tulichowaahidi, yaani stahiki zao tena zilizopitishwa kisheria.
Ukumbuke kuwa kati ya mkono wa daktari na damu ya mgonjwa yenye VVU umetenganishwa na nylon nyembamba sana, tena akiwa ameshika kisu ama sindano ambayo mara nyingi tu humtoboa na kumsababishia maambukizi..wanakufa wengi tu, wanaambukizwa VVU kila siku watu hawa,..wengi wanatumia ARV kwa sababu ya maambukizi haya,..na hata risk allowance hamna..leo mnakuja kupiga kelele kuwa wanakosa wito..kweli are we being human?
...do we know what we are talking about..ama ni kisiasa tu kama tunavyobadili kila kitu..nausiated!!
Nyie si ndo mliopasua kichwa cha mgojwa kuunga mguu ulovunjika? Then mkachana mguu wa mgonjwa mwingine ili mumfanyie operation ya kichwa,hapo ingependeza wazir awe pombe magufuli au steven wasira ili washrikiane na mama nyoni kuwanyoosha,iweje mng'ang'anie kubaki muhimbili kwan huku mikoani tulipo kodi yetu haichangii kwenye mishahara yenu!!
Bongo doctors have no moral support to Tanzanians, kama mimi ningekuwa mkuu hapo wizarani I could have f.....d them all these creatures, you are doing nothing at our hospitals. Tunawalipa hela yetu kwa kodi zetui hata hicho kidogo but once you get in their working environment utasikia mara doctor yupo wapi sijui mara njoo kesho, mwezi ujao mara....................wanapusua miguu badala ya vichwa...............mara tunawapa viongozi masaa sijui........hey! hata mtiacha kazi sawa tu hamna msaada better we die............nyie nani, what are you doing? better to pay good salaries those teachers down there than doing it to these creatures!
Oh boy, what this cretinoid hiding behind the computer saying? Watu wengine bwana hawakupaswa kuumbwa.
Kati ya vitu ambavyo madaktari wamefanya sahihi this time around ni kugoma hasa. Na wasicompromise katika hili. Katika dunia yote watumishi wa umma wanaoongoza kwa maslahi ni maDaktari na wanapaswa kuwa hivyo. Ni Tanzania tu peke yake madaktari wanawekwa level moja na masekretari. Hela za posho za wabunge zinatoka wapi? Hela za trip za mkuu ughaibuni zinatoka wapi? Hela za kuonga wabunge ili budget ipite zinatoka wapi?