Kimsingi madaktari wanapaswa kuangaliwa stahili zao ili wawatumikie watz kwa moyo mmoja,ila kwasasa nachelea kusema wengi tunaochangia humu ndani inaonesha wazi hatuna wagonjwa mahospitalini ndo maana tunawaambia waendelee kugoma,imagine umepata ajali then unapelekwa hosptal unaambiwa dokta kagoma,how wil u feel?jaman kuna haja na $madokta wenyewe kuwa na sympathy,halafu hawa madokta wanawahudumia watz na sio serikali,walisoma bure(grant)kodi za watz,sasa wanawakomoa watz wakidhan wanawakomoa serikali.