Mgomo wa madaktari kama walimu

Napata wasiwasi na elimu inayo tolewa TZ,inayo shindwa kumkomboa mtanzania dhidi ya dhuluma na uonevu!!!
 
Mwananchi nalo limekuwa tabloid, hizi njaa zitatuua, ndio maana David Cameroon anaweza kutuambia chochote
 
jaman mi mgomo wa madokta nauogopa, make uneza hudumiwa kwa kuchomwa sindani bila kyjitamua ukenda jifia taratibu. Serikari iwe makin kiukwel na hawa watu sio wa kuwapuza
 
...Temeke, Ilala, Mwananyamala na Hospitali za mikoa ya Tanga, Dodoma, Iringa, Shinyanga, Arusha, Mara na Kilimanjaro ziliendelea kama kawaida.

Madaktari katika Hospitali za Mount Meru, Bugando, Bombo, Hospitali Teule ya Muheza, Korogwe na Bunda waliendelea na kazi. Madaktari katika Hospitali za Magunga na Bombo mkoani Tanga ...


Betrayals
 
Hii inatishia hata usalama wa nchi yaani hata watu wenye taaluma zao ambazo wamesotea wanatishiwa nyau wanaopoga this is too much... haiwezekani madaktari wanakosa mshikamano na still wanaendelea kutulalamikia maslahi yao kila kukicha wanapewa fursa ya kudai haki yao wanakuwa kunguru waoga damn them sitaki tena kuwasikia bila umoja itakuwa ni ngumu kuleta mabadiliko ya kweli hapa nyumbani
 
Back
Top Bottom