..............to every action, there is an equal and opposite reaction
Hivi nyie madaktari mnaowasaliti wenzenu mna nini. hebu acheni kujipendekeza ina maana nyie mmeshiba eti eeh.
...unamaana watu wa daladala na madereva wa malori wanajua haki zao kuliko hawa (wasomi)madaktari na walimu?...hapana bhana tuwape muda labad hao wanaoendelea na kaziHizi sasa stori! Unajua majuzi madaktari wa Kenya walifanya nini? We are not organised pamoja na shule zetu tunazidiwa hata na watu wa daladala!!
Acha tu Ndugu yangu yaani hata siamini watu wanavyoshabikia mgomo hapa, msifananishe mgomo wa walimu na madaktari jamani? yaani mie kama jana wangegoma wa huku kwetu sa hivi ningekua naongea mengine? msishabikie kitu amabacho hakajawai kukuta!hivi jamani madaktari wakigoma nchi nzima mnajua madhara yake? au mnataka wote wagome kwa vile nyie pamoja na ndugu zenu mna uwezo wa kwenda kutibiwa private?
siku zote madaktari huwa hawagomi wote ila migomo huwa inalengwa zaidi ktk hospitali za rufaa ambako kwa muda mfupi tu madhara huonekana na mortuary huwa zinajaa na serikali huwa haiwezi kuvumilia.mi naamini wakigoma wa hapa dar wanatosha kufikisha ujumbe mzito.
hivi jamani madaktari wakigoma nchi nzima mnajua madhara yake? au mnataka wote wagome kwa vile nyie pamoja na ndugu zenu mna uwezo wa kwenda kutibiwa private?
siku zote madaktari huwa hawagomi wote ila migomo huwa inalengwa zaidi ktk hospitali za rufaa ambako kwa muda mfupi tu madhara huonekana na mortuary huwa zinajaa na serikali huwa haiwezi kuvumilia.mi naamini wakigoma wa hapa dar wanatosha kufikisha ujumbe mzito.
Bora hata walimu walikukuruka kidogo! Waganga wakuu wa wilaya na mkoa ni mafisadi wakubwa hawawezi kugoma.mngejipanga hata Dar tu!
...kitu kibaya zaidi mkuu ukichunguza vizuri,ni hawa hawa wasaliti ndo kutwa utawakuta wanalalama...oh maisha magumu...oh mishahara haitoshi...oh hii kazi hailipi afadhali nikalime au nifanye biashara nk,wakiambiwa "haya-basi sasa tudai haki zetu",wanaufyata mkia kama mbwa koko...Cha-ajabu ikatokea hao{madaktari mashujaa} waliojitoa muhanga kupigania haki za madaktari wote wakafanikiwa,utawaona tena hawa hawa wanaowasaliti wenzao leo ndo watakuwa tena wakwanza kesho kupokea hicho walichoshindwa kukipigania..."yaani mijitu kama hii!?"...khaa!*****ebu ngoja nijizuie nisije kutoa maneno yasiyofaa coz mi-mtu ya aina hii inaweza ata ikakuaribia siku kwa unafki wao..."KILA MAPINDUZI HUTENGEZA MASHUJAA NA WASALITI WAKE"...Hivi nyie madaktari mnaowasaliti wenzenu mna nini. hebu acheni kujipendekeza ina maana nyie mmeshiba eti eeh.