Sigma
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 5,006
- 1,254
Final Update.
ni kweli umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu, lakini katika umoja huo tangulizeni maslahi ya taifa mbele,
!
Acha unafiki.
hayo maslahi ya taifa, sijui uzalendo waimbiwe madaktari tu?
Wabunge hawatakiwi kuwa wazalendo?
Kikwete na serikali yake na safari zao hawatakiwi kuwa wazalendo?
Kikwete na genge lake la mafisadi wako juu ya mstari wa uzalendo?