Mgomo wa madaktari"eti Litakalokuwa na liwe"

Feb 9, 2012
65
15
Hivi huyu waziri wetu mkuu haya matamko anayatoa wapi?anaandaliwa au nayaandaa mwenyewe?Na anajua madhara yake hasa anapodeal na wasomi wanaotambua wajibu na haki zao?Hajui kwamba hakuna anayeogopa hiyo nikwara ya "nyau"?Sasa nalisubiria tamko lake leo nione kama litatatua tatizo la mgomo au kupunguza athari zake.
HUYU NI MTOTO WA MKULIMA KWELI??
 
Wazee wa upepo,ni upepo tu hili nalo litapita!teh teh teh.
 
Back
Top Bottom