Mgomo wa madactari ulianza na interns na utamalizika na interns

raymg

JF-Expert Member
Jun 30, 2012
842
214
Kwa takriban miez & sasa madactari wamekua na mgogoro na serikali, ambao ulianza kwa mainterns waliofukuzwa pale MNH miez & iliyo pita japokua hiyo c hoja tena kwa sababu tatizo hilo lilishatatuliwa.
Katka utatuzi wa suala hilo yaliongezeka madai mengine ya madactari ambayo ctayataja hapa ambayo ilipelekea kuitishwa kwa episode ya kwanza na ya pili ya mgomo ambao uliisha kwa ahadi kuwa hayo yatafanyiwa kazi ikiwa pamoja na Mh. Rais kuahudi kua yupo tiari kulimaliza au kuyafanyia kaz madai hayo.
Ahadi hizo hizo hazkutekelezeka ndio maana madactari wakaamua kuingia katika episode ya tatu ya mgomo wa nchi nzima kushinikiza utekelezaji wa madai yao.
Takriban n wiki 2 sasa zmepita kukiwa na huu mgomo ambao ulianza kwa kasi kubwa na kuungwa na madactari wote kuanzia interns, Registras, residents, na Specialisty....
Hii ilipelekea Resindents kwenye baadhi ya vyuo kucmamishwa masomo, registras kucmamishwa kazi, na interns kuondolewa sehemu zao za kazi.
Pamoja na propanganda za serikali ambazo kwa upande mwingine zmefanikiwa kwa kiwango kikubwa kuwagawa madactri kwa mtizamo wangu kimedhoofisha kabsa nguvu iliyo kuwapo mwanzon wakati huu mgomo unaanza.
Kwa kitendo cha kuchaguliwa interns peke yao nakuitwa Wizaran na kukabidhiwa barua ya CMI ya kujieleza kwa nn wako kwenye mgomo mmoja mmoja, bila kuwahusisha Residents na regstras n mbinu ambayo kwa mtizamo wangu mm inaenda kuwarudisha interns wote kazn, na kwasababu wao ndo wanaonekana ndio vinara wa huu mgomo basi unaenda kuisha wote kabsa within next week.
Hivyo Mgomo huu waliunzisha Interns na Wanaenda kuumaliza Interns.
Imetolewa na Raymond M. Wlison.
 
hayo yote uliyosoma hujaelewa chochote.....acha kua nazi bs
 
nani kakwambia kwamba kuna intern atarudi wizarani?si meshasema na asiyetaka aache?wameacha kweli.
 
Back
Top Bottom