Mgomo wa mabasi ya abiria stendi kuu Moshi?

Officer2009

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
560
110
Wana forum, huku Mwika leo hakuna usafiri wa mabasi ya abiria(Hiace) kutoka Mwika na kwenda Moshi mjini. Inasemekana kwamba kuna mgomo Moshi mjini kutokana na kupandishwa ushuru wa stendi. Je ni kweli?
 
Hali ni mbaya kwani waendesha daladala mjini Moshi wamegoma kupakia abiria kufuatia kupandishiwa ushuru, wanadai na nauli ipande.
 
sisi wengine tuko mbali, ungepiga simu moshi mjini kwa mangi pale mkulima au east africa ungekuwa umesha pata majibu
 
Hapa inanikumbusha kipindi kile cha nyuma nilikua napanda Treni kutoka Moshi kuja Arusha! Jamani ilikua raha we acha tu! Masikini sijui ni lini tena hii hali itajirudia kwenye hili shirika la Mwakyembe?
 
So sad.......i strand here bse ya huu mgomo..... Hamna gar ya kwenda popote......... Godamn!
 
Back
Top Bottom