Mgomo umeiva Mzumbe University: JK unahujumiwa?

Kwako Rais Jakaya Kikwete,

Ni hivi punde mdogo wangu ambaye amechaguliwa kujiunga na chuo kikuu Mzumbe amenipigia simu na kunieleza jinsi management ya chuo kikuu Mzumbe wakiongozwa na Prof Kuzilwa na Prof Kamuzora jinsi wanavyosuka mgomo kwa lazima. Tuhuma hizi zinachochewa na kitendo cha chuo hiko kwa kushirikiana na TCU kujaza maelfu ya wanafunzi kushinda uwezo wa chuo kiasi kwamba sasa "kuna vuta nikuvute kwenye maswala ya accomodation"

Mpaka sasa inaelezwa kuwa historia ya kutogoma ya chuo kikuu Mzumbe ambayo JK amekuwa akijivunia huenda ikafutika muda wowote kutoka hivi sasa kutokana na tishio la mgomo huo ambao yaelezwa muda wowote waweza kuanza.

Hapa ndipo nataka kumuuliza JK kuwa yeye kama rais haoni kuwa anahujumiwa na maprofessor hawa? je Jk yupo tayari Mzumbe kugeuka "Mlimani?"
Nadhani wewe unaweza kuwa unataka kuliwa badala ya kuku .Tetesi unazifanyah breaking news .Elimu ya Kata hii hata jina lako linaonyesha .Tutolee upuuzi huu hapa.
 
Kwako Rais Jakaya Kikwete,

Ni hivi punde mdogo wangu ambaye amechaguliwa kujiunga na chuo kikuu Mzumbe amenipigia simu na kunieleza jinsi management ya chuo kikuu Mzumbe wakiongozwa na Prof Kuzilwa na Prof Kamuzora jinsi wanavyosuka mgomo kwa lazima. Tuhuma hizi zinachochewa na kitendo cha chuo hiko kwa kushirikiana na TCU kujaza maelfu ya wanafunzi kushinda uwezo wa chuo kiasi kwamba sasa "kuna vuta nikuvute kwenye maswala ya accomodation"

Mpaka sasa inaelezwa kuwa historia ya kutogoma ya chuo kikuu Mzumbe ambayo JK amekuwa akijivunia huenda ikafutika muda wowote kutoka hivi sasa kutokana na tishio la mgomo huo ambao yaelezwa muda wowote waweza kuanza.

Hapa ndipo nataka kumuuliza JK kuwa yeye kama rais haoni kuwa anahujumiwa na maprofessor hawa? je Jk yupo tayari Mzumbe kugeuka "Mlimani?"

Kwa nini suala la wanafunzi wa chuo kugoma lihusishwe na rais?Tatizo letu watanzania kuanzia asubuhi mpaka jioni tunawaza siasa tu,eti Kikwete anajivunia mzumbe kutokua na migomo, hivi hilo nalo ni la kujivunia.Sisi ni bongo lala sana tu,tuige wenzetu wa uarabuni wameamua kujikomboa kifikra kwa vitendo zaidi kuliko jkutumia longolongo za kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Kwako Rais Jakaya Kikwete,

Ni hivi punde mdogo wangu ambaye amechaguliwa kujiunga na chuo kikuu Mzumbe amenipigia simu na kunieleza jinsi management ya chuo kikuu Mzumbe wakiongozwa na Prof Kuzilwa na Prof Kamuzora jinsi wanavyosuka mgomo kwa lazima. Tuhuma hizi zinachochewa na kitendo cha chuo hiko kwa kushirikiana na TCU kujaza maelfu ya wanafunzi kushinda uwezo wa chuo kiasi kwamba sasa "kuna vuta nikuvute kwenye maswala ya accomodation"

Mpaka sasa inaelezwa kuwa historia ya kutogoma ya chuo kikuu Mzumbe ambayo JK amekuwa akijivunia huenda ikafutika muda wowote kutoka hivi sasa kutokana na tishio la mgomo huo ambao yaelezwa muda wowote waweza kuanza.

Hapa ndipo nataka kumuuliza JK kuwa yeye kama rais haoni kuwa anahujumiwa na maprofessor hawa? je Jk yupo tayari Mzumbe kugeuka "Mlimani?"

Sasa hujuma hapo iko wapi? kama uwezo wa chuo ni mdogo halafu unajaza watu kupita uwezo huo unategemea wakae kimya? Mzumbe they strive for education excellence therefore kitendo cha kujaza watu kuliko uwezo,will affect the mission and vision of this university...eko Prof Kuzilwa na timu yako kwa maandalizi wa mgomo huo,mimi nawasapoti kwa asilimia 100 kama graduate wa chuo hiki bora kabisa Tanzania...
 
napata wakati mgumu sana kuamini kama na wewe ni graduate..nlikuaga najua mzumbe wanatoa graduates vilaza lakin ckujua kama ni vilaza kiac hiki kama wewe..kwa hyo we ulitaka wenzio wakose vyuo eti kisa hakuna accomodation,udsm mbona watu wanalala hata 10 kwenye rum 1 na bado maisha yanaendelea?
 
Migomo mingi ilishawai fanyika pale MU including kudai ela ya mid recess ambayo wajanja wachache walikuwa wakiitafuna.
Mgomo ulitokea na watu walikodi basi la Abood mpka board na kikaeleweka!
 
Back
Top Bottom