Mgomo umebatilishwa, cheki SUMU madarasani,mpaka kieleweke!

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,482
9,517
Baada ya mgomo kubatilishwa, walimu wanawalisha sumu Wanafunzi as plan B. sijui nani wa kulaumiwa, Jk na watu wako mpoo!, kazi ipo

Mwanafunzi:- Please madam gfsonwin, how many types of coffee do we have in Africa?

Teacher gfsonwin: - Two
1:Coffee Annan
2:Coffee Olomide.

Chezea mwalimu wewe alieleta uhuru TANGANYIKA.
 
hahaaa!plan b ipo poa mshahara wanapata wanafundisha uongo wanaoadhirika wanafunzi wa walala hoi,wa kwao wapo majuu!
 
umm kulthum ndo mambo ya LIWALO NA LIWE, baadae tutaheshimiana tu!
 
Hii ilikuwa mbinu ya wakoloni kutowapa elim bora waafrika ili waendelee kutawaliwa kwa kuburuzwa. Sasa wakubwa wa sirikali wanatumia mbinu yiyohiyo ili wabongo wengi waendelee kuwa mabwege. Mara migomo feki ya walimu, mara tcu hakuna mikopo, mara shule za kata na vijiji zenye walim wawiliwawili wasio na shule. Afrika tutafika kweli? Msoffe uko wapi unitetee
 
Pinda kapinda kweli,alafu ana mizengwe(mizengo) eti liwalo na liwe.
 
Hii ni kwa shule za st. Kayumba

St.kayumba
St.mvumi
St.kondoa
St.kaendesha..
student>Hivi mwalimu,Mtawala wa wachaga zamani aliitwa Mangi Meli,kwani alikuwa peke yake?
Mwalimu>hapana Ukiachia Mangi Meli,kulikuwa hawa wafuatao;
>mangi Sina
>mangi mkopo
>mangi ninacho
>mangi boti
>mangi mtumbwi
Mangi jahazi na mangi Mashua.
 
Liwalo na liwe, asiyeweza apige mbizi, ila huu ni upepo tu utapita, tena hakuna kuchimba dawa, maana kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake, acheni wivu wa kike, na mtasema sana lakini najua mko tayari kula hata nyasi.
 
Hahahaahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha

Liwalo na liwe, asiyeweza apige mbizi, ila huu ni upepo tu utapita, tena hakuna kuchimba dawa, maana kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake, acheni wivu wa kike, na mtasema sana lakini najua mko tayari kula hata nyasi.
 
Na waonea huruma watoto
uko chini ya ulinzi kwa kupotosha watoto!
Chagua kati ya kupotelea mwabepande na kufundisha bila kupotosha!
St.kayumba
St.mvumi
St.kondoa
St.kaendesha..
student>Hivi mwalimu,Mtawala wa wachaga zamani aliitwa Mangi Meli,kwani alikuwa peke yake?
Mwalimu>hapana Ukiachia Mangi Meli,kulikuwa hawa wafuatao;
>mangi Sina
>mangi mkopo
>mangi ninacho
>mangi boti
>mangi mtumbwi
Mangi jahazi na mangi Mashua.
 
Liwalo na liwe, asiyeweza apige mbizi, ila huu ni upepo tu utapita, tena hakuna kuchimba dawa, maana kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake, acheni wivu wa kike, na mtasema sana lakini najua mko tayari kula hata nyasi.

ziko nyingi Mkuu, MIMBA CHANGA ZINAWASUMBUA, CHADEMA WANAWASHIKISHA UKUTA(Nape, Mwanza), MNAULIZA MVUA KWANI MI WAZIRI WA MVUA?(Wassira), SIJUI KWA NINI WATANZANIA NI MASKINI(Pinda&Jk), NATAMANI NIGEUKE WINGU NIKANYESHE MVUA PALE MTERA WANANCHI WANGU MPATE UMEME(JK), VILE NI VIJISENTI TU(Chenge),HAWA WATU NI WAGUMU KUELEWA,JANA TU NIMEMFUNDISHA DADA AKE LEO YEYE(Mwigulu kwa Lissu),USIPOKUBALI KULIWA KIDOGO HULI,ANDAMANENI KESHO,AFU KESHOKUTWA MTARUDI KWENYE MEZA YA MAZUNGUMZO NA PLASTA MIDOMONI(Jk)
 
St.kayumba
St.mvumi
St.kondoa
St.kaendesha..
student>Hivi mwalimu,Mtawala wa wachaga zamani aliitwa Mangi Meli,kwani alikuwa peke yake?
Mwalimu>hapana Ukiachia Mangi Meli,kulikuwa hawa wafuatao;
>mangi Sina
>mangi mkopo
>mangi ninacho
>mangi boti
>mangi mtumbwi
Mangi jahazi na mangi Mashua.

Umemsahau Mangi Ngalawa!
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahah

Back
Top Bottom