Mgomo UDOM

gojali

New Member
Aug 26, 2011
3
0
leo wanafunzi wa college ya educaton wameandamana had utawala udom na kuambiwa kwamba bum had ijumaa je litatoka?
 
leo wanafunzi wa college ya educaton wameandamana had utawala udom na kuambiwa kwamba bum had ijumaa je litatoka?

Na maisha ya huko tunaaminishwa ni makali sana kuliko sehemu yoyote ile
 
Du hiyo bum wawape tu maana maandamano yasijeingia mjini Dodoma, mkasema siasa Sasa nasi tumechoka, Kigamboni maandamano kivuko na Magufuli, Arusha Mbeya wasomali mwaka huu 2012 unagawanyika
 
Na maisha ya huko tunaaminishwa ni makali sana kuliko sehemu yoyote ile

wanachuo wa vyuo vilivyoko Dodoma wanapaswa kuongezewa bumu mara dufu maana ni kweli maisha ya dodoma si mchezo,ni magumu hata kwa waheshimiwa itakuwa hawa vijana?
 
Ngoja tuone Ijumaa ikifika maana mbio za sakafuni mwisho wake ni ukiongoni tu.
 
Tunaiomba serikali yetu isawafanye wananchi wakaamini kwamba haki lazima ipatikane kwa migomo. Kila kiongozi atimize wajibu wake ili kuepuka migogoro isiyo ya lazima. Kuna umuhimu pia wa kutoa taarifa kwa wahusika ili wajue nini kinaendelea. Kumbukeni 'lack of communication brings chaos'.
 
we unadhani inapatikana kwa njia gani mkuu? Siuk zote haki haiombwi bali inachukuliwa toka kwa wanaodhani inaombwa
 
Back
Top Bottom