Mgomo Ruaha Catholic University

kapikita

Senior Member
Jun 8, 2014
131
72
Muda wowote kuanzia sasa, kutafanyika mgomo na maandamano makubwa kwa wanafunzi wa BAED mwaka wa kwanza na mwaka wa pili ili kushinikiza chuo na bodi ya mikopo kuleta majina ya kusain pesa na kulipwa kwa wakati pesa za field inayoanza mwezi huu tar 12.

Nitaendelea kuwapa updates kinachoendelea hapa chuoni.
 
sasa mnaandamana dhidi ya bodi au chuo?
maana chuo hakihusiki na mambo ya mikopo.

Waache wagome chuo hakihusiki na fedha za bodi hao wanataka kufukuzwa chuo wakatoliki huwa hawatakiwi kugoma ukigoma kama ni mtoto wa mkulima jiandae kwenda kulima
 
sasa mnaandamana dhidi ya bodi au chuo?
maana chuo hakihusiki na mambo ya mikopo.

chuo kingekua hakihusu Afisa wa bodi ya mikopo aliyepo kila chuo ana kazi gani?na wazir wa mikopo kila chuo kutoka serikal ya wanafunzi bc nae ni wa nn,,, tunajua chuo hakitoi pesa,, ila chuo kina wajibu wa kuhakikisha wanafunzi wake wanapata pesa kwa wakati
 
Waache wagome chuo hakihusiki na fedha za bodi hao wanataka kufukuzwa chuo wakatoliki huwa hawatakiwi kugoma ukigoma kama ni mtoto wa mkulima jiandae kwenda kulima

mkuu unaanza kuleta udin ss
 
Hii wapigwe tu policy by PM wamesema itaisha baada ya uchaguzi mwaka huu, muhim kujiandaa pia
 
chuo kingekua hakihusu Afisa wa bodi ya mikopo aliyepo kila chuo ana kazi gani?na wazir wa mikopo kila chuo kutoka serikal ya wanafunzi bc nae ni wa nn,,, tunajua chuo hakitoi pesa,, ila chuo kina wajibu wa kuhakikisha wanafunzi wake wanapata pesa kwa wakati

hapo hakuna ushirikiano kati yenu na viongozi wenu pamoja na bodi.. suala la kuchelewesha majina bodi ndio inahusika hahusiki afisa wala waziri wenu wanaohusika wapo huko bodi ya mikopo... kumlaumu afisa, principal, waziri wa mikopo n.k hakutosaidia mtumeni waziri wenu aende bodi kueleza tatizo.. mtaandamana mfukuzwe chuo iwe majanga ++
ni kwamba umepanik ndugu.. kazi ya afisa ni kurahisha taratibu za mikopo chuoni kwenu mfano asingekuwepo mngesainia wapi.?? na hayo majina mngeyapataje.? pia jiulize wakati unaomba mkopo kulikua na afisa?? waziri wa mikopo au chuo..?? unganeni fanyeni masuala ya msingi tafuteni utaratibu wa kwenda bodi ya mikopo...
 
Yes, RUCO kwa sasa inajitegemea, siyo college ya SAUT tena. Kimebadili jina kinaitwa Ruaha Catholic University.

Kila kitu kinaendeshwa na Main Campus (Mwanza) hata baada ya kujitegemea, Mf. Nani awe mkuu wa chuo na sehemu ya mishahara ya wafanyakazi. Wakiandamana watafukuzwa wote au waitie polisi wapigwe. Mkuu wa chuo alisha sema eti bodi ya mikopo si babao yao (Baba wa wanafunzi).

Hakuna Migomo Catholic Universities, kama wewe ni mmoja wao kaa mbali. Bodi itakudai ukiwa Mkulima!!!
 
chuo kingekua hakihusu Afisa wa bodi ya mikopo aliyepo kila chuo ana kazi gani?na wazir wa mikopo kila chuo kutoka serikal ya wanafunzi bc nae ni wa nn,,, tunajua chuo hakitoi pesa,, ila chuo kina wajibu wa kuhakikisha wanafunzi wake wanapata pesa kwa wakati

Jidanganye uwe kimbelembele uone wakatoriki utakavyo kuwa Mkulima bila kupenda. Hawanaga masiahala hata chenchi wanakupa. Waulize TUME ya KATIBA/UCHAGUZI kama wana hela za BVR Machine?
 
Msikariri kuwa maandamano ndio suluhisho.
Field wasema mnaanza tar 12
sasa maandamano ya nini tarehe hizi?
Huku Mwenge Catholic university sijawahi sikia huu ujinga wa maandamano maana yameprove failure kwenye vyuo vingi.
Tumetulia tu field tunaanza tarehe 9 febr, hela ya field tumepewa juzi.
Achaneni na inshu za maandamano zitawagharimu.
 
Back
Top Bottom