Mgomo mwingine walipuka IFM

mwandishi wa
habari wa CHANNEL TEN
ANAFUKUZWA BAADA
kurusha habari ya
UONGO KWENYE T.V yao.
Leo ndio najua kumbe
vyombo vya habari bongo
ni waongo sijui nini halafu
hapa IFM kuna wa ITV na
TBC je watairusha hii?
 
sasa
huyu jamaa wa channel
ten anajitetea eti
anasema hajaripoti yy ni
mwingine.
Thatha huyo aliyeleta
habari huko channel ten
kidogo amsababishie
matatizo mwenzake na
kamera na maiki yake.
 
Aisee management ya IFM ina nyodo kama chuo ni cha baba zao vile.
All the best wadogo zangu.
 
sasa
huyu jamaa wa channel
ten anajitetea eti
anasema hajaripoti yy ni
mwingine.
Thatha huyo aliyeleta
habari huko channel ten
kidogo amsababishie
matatizo mwenzake na
kamera na maiki yake.

Chanell 10 ni kituo cha rostam azizi ambaye ni moja kati ya majangili hapa nchini kwa hiyo lazima wachakachue,dawa ni kichapo tu na clouds nao wakitokea hapo wapeni kichapo hadi kieleweke maana ni wash##zi sna
 
Jamaa hapo juu yuko sawa kuwa prospectus huwa na Almanac ndani yake.

Hapana Greek unakosea, Prospectus huwa haina Almanac ndani yake, siju labda Prospectus ya IFM! Prospectus kawaida huwa inaelezea mission na vision ya chuo husika na wakati mwingine huelekeza jinsi ya kufika na kuishi chuoni, lakini muhimu ni kuw2a prospectus huwa inaelezea details za course zinazotolewa na chuo husika, wakati kwa upande mwingine Almanac huelezea Tarehe na matukio ya chuo kwa mwaka wa masomo! mfano huelezea,lini mitihani itafanyika, lini chuo kitafungwa na kufunguliwa, lini graduation na vitu kama hivyo!. Anyway hii si hoja sana nilikuwa natoa tu mchangao wangu juu ya uelewa wangu kuhusu Prospectus na Almanac, hoja hapa ni kusema BRAVO IFM!
 
sasa uongozi wa chuo umeamua vp hapo?maana mmegoma sawa,uongozi umeamuaje?
 
Nasikia Mkuu wa Chuo amekubaliana na matakwa ya wanafunzi kuwa watasogeza mitihani mbele ili waweze kumalizia kutoa vitambulicho vya mitihani kwa nafasi na mambo mengine je ni kweli management imesalimu amri!!!!!!!!!
 
Mgomo ndio umeanza madai ni mengi sana lakini chanzo kikuu ilikuwa ni baada ya wanafunzi wengi kucheleweshewa na wengine kunyimwa kabisa ID mtihani uaonza leo kwa sababu tu hawajafikisha 70% ya ada, waliojitahidi kufikisha hicho kiwango wengi wao mpaka muda huu hawajapewa hizo ID na huku mtihani ulikuwa uanze leo asubuhi, hizo ID mpya zimeanza kutolewa ghafla katikati ya wiki iliyopita bila utaratibu maalum na kwa usumbufu mkubwa huku wahusika ambao ni management wakiwa wamejaa maneno ya dharau na kejeli, mpaka jana jioni wengi wa wanafunzi wamekuwa wakilia na kuzunguka sana hapa chuoni bila kupewa hizo ID, sasa jiulize hizi ni final examz sijui tunawezaje kujiandaa na examz ndani ya stress kama hizi. Naomba watu wa habari msikurupuke na kuja kutoa taarifa ambazo hamzijui na wala hamna uhakika nazo hasa nyie Clouds.
kwenye red hapo puuzi sana
 
bora umewaambia clouds fm,mwaka juz kibonde alisema eti ifm wanagomea mtihani,wanaogopa mtihani wakati yeye hadi leo hii anatafuta credit za form 4!! Ni ajabu clouds fm!
 
Nasikia Mkuu wa Chuo amekubaliana na matakwa ya wanafunzi kuwa watasogeza mitihani mbele ili waweze kumalizia kutoa vitambulicho vya mitihani kwa nafasi na mambo mengine je ni kweli management imesalimu amri!!!!!!!!!

mkuu,kwa ili si kusalimu amri! Uyu prof.yani mkuu wa chuo mpya ana wisdom kubwa sana,you can't imagine. Mi namkubali prof. Rector wa ifm,na mpaka leo kaipeleka ifm next leo. If true hongera profesa kwa hekima yako. Admissions,toeni ID basi, msilete ugumu wakati na mitihani ya ifm kama zege,mtawakondesha bure wadogo zetu!
 
Hapana Greek unakosea, Prospectus huwa haina Almanac ndani yake, siju labda Prospectus ya IFM! Prospectus kawaida huwa inaelezea mission na vision ya chuo husika na wakati mwingine huelekeza jinsi ya kufika na kuishi chuoni, lakini muhimu ni kuw2a prospectus huwa inaelezea details za course zinazotolewa na chuo husika, wakati kwa upande mwingine Almanac huelezea Tarehe na matukio ya chuo kwa mwaka wa masomo! mfano huelezea,lini mitihani itafanyika, lini chuo kitafungwa na kufunguliwa, lini graduation na vitu kama hivyo!. Anyway hii si hoja sana nilikuwa natoa tu mchangao wangu juu ya uelewa wangu kuhusu Prospectus na Almanac, hoja hapa ni kusema BRAVO IFM!

kwa ifm almanac na prospectus zimeunganishwa pamoja,hapa ninayo ya 07/08, 08/09 na mwaka jana zote zina almanac kwa page za mwisho. Ni ayo mkuu!
 
Poleni ndg zangu, but hyo ndo hali halisi ya nchi yetu, komaeni hadi kieleweke hakikisheni polic hawaingilii angle hizo coz ni viherehere sana siku izi hasa kwetu sisi wanavyuo vikuu, polis wakisikia noma tuu ya maandamano utadhani ni vita imetangazwa!
 
Hapana Greek unakosea, Prospectus huwa haina Almanac ndani yake, siju labda Prospectus ya IFM! Prospectus kawaida huwa inaelezea mission na vision ya chuo husika na wakati mwingine huelekeza jinsi ya kufika na kuishi chuoni, lakini muhimu ni kuw2a prospectus huwa inaelezea details za course zinazotolewa na chuo husika, wakati kwa upande mwingine Almanac huelezea Tarehe na matukio ya chuo kwa mwaka wa masomo! mfano huelezea,lini mitihani itafanyika, lini chuo kitafungwa na kufunguliwa, lini graduation na vitu kama hivyo!. Anyway hii si hoja sana nilikuwa natoa tu mchangao wangu juu ya uelewa wangu kuhusu Prospectus na Almanac, hoja hapa ni kusema BRAVO IFM!

mkubwa mimi nnachojua nikuwa ndani ya prospectus ya IFM kuna ratiba ya matukio ya mwaka mzima na tarehe zake. Ninayo na huwa naisoma nikipata muda.
 
mkuu,kwa ili si kusalimu amri! Uyu prof.yani mkuu wa chuo mpya ana wisdom kubwa sana,you can't imagine. Mi namkubali prof. Rector wa ifm,na mpaka leo kaipeleka ifm next leo. If true hongera profesa kwa hekima yako. Admissions,toeni ID basi, msilete ugumu wakati na mitihani ya ifm kama zege,mtawakondesha bure wadogo zetu!

Mkuu,

Unampa hongera mkuu wa chuo kwa kuwa kigeugeu??? wewe sijui umetokea wapi Principal sijui Rector wa IFM ni kama CEO wa kampuni, kama ametoa masharti ya wanafunzi wasiruhusiwe kufanya mtihani kama hawajalipa 70% ya ada hao jamaa wa Admission ni kama maofisa tu kwani instruction zimetokea ofisini kwake mkuu wa chuo. Niwaulize je wanakosa gani? Wao wanatekeleza sheria za utendaji kosa lao lipi. Hii inadhihirisha kuwa huyo mkuu wenu wa chuo hafai kuongoza hicho chuo kwani anakosa msimamo na muoga au mnafiki.

Kama ameona chuo kina matatizo kwani hakuchukua measures toka awali kujenga mazingira ya wanafunzi kuweza kuwa adjustable na hii ratiba ya mtihani. Wale ambao hawajalipa ada wanaweza kupewa resits exams ikawa kama first exams na wakifeli watarudia katika mtihani wa mwakani. Ila utaratibu uliowekwa unaendelea kama kawa. Watu wengine sijui kwanini wanateuliwa hizi nafasi mweh!!!!
 
Mgomo bado unaendelea, Mkuu wa chuo kaja kuongea na wanafunzi baada ya kulazimishwa, lakini haja address dai muhimu la wanafunzi ambalo ni kuwaruhusu wanafunzi kufanya mitihani yao hata kama hawajamalizia ada kwani JK alisema hakuna mwanafunzi atakayesimamishwa chuo kwa kukosa ada, na ukimzuia kufanya mitihani si ndio kumfukuza kijanja huko. Lakini amekubali kusogeza mitihani mbele na kukubali kuwa kweli wamekosea kwani mpaka leo finalz zinaanza wanafunzi wengi hawajajua cousework zao (results za tests an assignment) pia amesema atashughulikia madai ya dharau na majibu ya kejeli ya lecturer's na management yake. Tunataka waache utaratibu wao wa kuwazuia watu kufanya tests na mitihani kama hawajamalizia installment za ada. Kuna wengi tulizuiliwa kufanya test 2 kwa ajili hiyo na mpaka leo finalz zinaanza hatuju hatima yetu.
 
mmh! huwa nina wasiwasi na migomo inayoanzishwa wakati wa mitihani.Examination fever hiyo jamani!wakiambiwa waende tu kwenye mitihani na vitambulisho vya shule tu badala ya vitambulisho vya mitihani bila kujali kama umemaliza ada au la watakubali?TAFAKARI
 
hapo kwenye vyombo vya mafisadi ni hatua nyingine tutakayohitaji mabadiliko siku sijazo.
Kuna matatizo sana katika huo mhimili wa habari,
habari nyingi zinawabeba hao vibosile
mwandishi wa
habari wa CHANNEL TEN
ANAFUKUZWA BAADA
kurusha habari ya
UONGO KWENYE T.V yao.
Leo ndio najua kumbe
vyombo vya habari bongo
ni waongo sijui nini halafu
hapa IFM kuna wa ITV na
TBC je watairusha hii?
 
Back
Top Bottom