Mgomo mwingine wa madaktari hautakubalika!

kabindi

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
333
120
Hatua yoyote ile ya kugoma kutoa huduma kwa WATANZANIA wasio na hatia haitakubalika. Kwa sasa watanzania tutalaani na kupinga action yoyote kwa madaktari wanayokusudia kuchukua. Hatua hiyo ni kama uhaini kwa kukusudia kuua raia wema wanaokamuliwa kodi kwa kusomesha na kuwalipa mishahara wataalamu. Tunaamini bado kuna nafasi ya kukaa na kupata muhafaka kupitia meza ya majadiriano bila kuilazimisha, kuisulutisha na kuiwekea mashariti ya kuidhalilisha serikali eti kwa kwa kigezo ni kada muhimu. Serikali ina utaratibu wake ambao inapaswa uheshimiwe na watu wote kwa mujibu wa katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Pia tunatoa mwito kwa serikali kuheshimu taaluma za wataalamu wetu kwa kuwapatia vitendea kazi na maslahi yanayokidhi taaluma husika. Suala la kada ya afya lishughulikiwe kwa ujumla wake kwa kuzingatia wataalamu wote waliopo katika kada hiyo bila kuwabagua maana wanategemeana bila kusema Daktari ni bora zaidi, kinyume na hapo ni kuzalisha Crisis nyingine ndani ya kada ya Afya kwa kusababisha chuki kati yao na mgomo baridi utakaoleteleza kuzorotesha huduma ya Afya. Hatua kwa hatua na kwa kasi, Serikali iboreshe maslahi kwa watumishi wake, maana tukisema Sekta ya Afya ni muhimu zaidi, je Walimu wanaopigana kuondoa ujinga na kuzalisha hao wataalamu wa Afya wao si ni bora zaidi? SERIKALI ISIJIINGIZE KATIKA MTEGO WA KUONA KADA NYINGINE NI BORA ZAIDI KWA MAANA KADA ZOTE ZINATEGEMEANA! Mfanyakazi wa TRA si bora zaidi, kuliko mtaalamu wa Afya za Mazingira, Mkemia au mhandisi, Mwanajeshi si bora zaidi Kuliko Daktari, na wala Daktari si bora zaidi kuliko Mwalimu, na Wala WABUNGE si bora kuliko watu wengine. Na kinyume chake ni hivyo hivyo. Tofauti inayoweza kujitokeza, madharani ni kwa kuhamasisha wanafunzi wengi wapende masomo ya Sayansi, hivyo ili linaweza kufanyika kwa wataalamu wa sayansi kupewa motisha na hata ikibidi nje ya mishahara yao. lakini suala la mishahara lazima liwe na kanuni ya uwiano.
Changamoto ninayoitoa kwa serikali kwa siku za mbeleni na kwa hatua za haraka zaidi, pelekeni kwa wingi wataalamu wa kada ambazo zina impacts za moja kwa moja kwenye maisha ya binadamu katika vyombo vya usalama kama vile jeshini, usalama wa Taifa, police na vinginevyo kwa ajili ya emergency wakati wa dharula. Lakini pia maslahi ya wataalamu wetu lazima yaboreshwe.

Nasilisha kwa maslahi ya Taifa
 
Wacha wagome! Mimi sio mmoja hao Watanzania uliowataja kwamba watalaani na kupinga action za madaktari!!

Madaktari wametumia njia sahihi kudai haki zao na wakapuuzwa!Kipindi cha kudanganyana kama watoto kimepitwa na wakati!

I support you doctors 100%! It's either now or Never!!
 
Naunga mkono mgomo wa madaktari kwa asilimia mia! Hayo ni mawazo yako binafsi c ya watanzania...
 
je aliyosema pinda tarehe tisa february yametekelezwa?mbona kama umetoka usingizini??
 
Mashudu haya!
 
Siungi mkono mgomo huo eet kisa ni mponda!? Tumejua nchi inaendeshwa na vichaa tusikubali kuwa vichaa kama wao, ndugu zangu madr tunajiua wenyewe hii nchi ipo kwenye wakati mgumu sana! Tusikubali kuwa wauaji kisa taahila mmoja uncle j!
 
Huu ni uvivu wa kufikiri,madaktari wana hoja ya msingi mkuu!
 
Siungi mkono mgomo huo eet kisa ni mponda!? Tumejua nchi inaendeshwa na vichaa tusikubali kuwa vichaa kama wao, ndugu zangu madr tunajiua wenyewe hii nchi ipo kwenye wakati mgumu sana! Tusikubali kuwa wauaji kisa taahila mmoja uncle j!

kama kuwawajibisha hawa wawili ni tatizo sasa kuna uhakika gani kwamba yale mengine yanayohitaji fedha na mchanganuo yatashughulikiwa.mgomo ndio njia pekee!!
 
Mtoa maada, naamini umetumwa kupima upepo. Ulichokipata hapa kipeleke kwa huyo/wale waliokutuma. Watanzania wameamka na hawadanganyiki tena kama mwanzo.
Habari ndio hiyo!
 
Nakupongeza mleta mada hususan uliposema bado kuna nafasi ya suala hili kumalizwa kwa njia ya mazungumzo. Ila kumbuka kuwa mwenye nguvu katika hili ni serikali. Je umejaribu kudodosa kama serikali wako tayari kukaa meza moja na madaktari? Tatizo la viongozi wetu wana dhana kwamba ukiwa kiongozi basi huwezi kuomba msamaha wala kunyenyekea. Wanaona kama hawaheshimiwi na kwamba njia ya kutatua matatizo ni ku enforce matakwa yao. Mbona wakati wa kampeni mnawapigia magoti hadi watoto wa chekechea ambao hata kura hawapigi? Je, hao ni bora zaidi kuliko waliowapa kura?
Mtoa mada, yawezekana unatibiwa hospitali za binafsi hujui mazingira ya hospitali zetu za serikali ambazo zinatibu walala hoi wengi. Tofauti ya kada zipo tena wazi. Risk ni mojawapo ya factor inatofautisha kati ya kada moja na nyingine. Umuhimu unabaki pale pale ila mazingira ya kazi yanatofautiana. I stand to be correcte but 'the higher the risk the higher the reward and vise versa'
 
Hatua yoyote ile ya kugoma kutoa huduma kwa WATANZANIA wasio na hatia haitakubalika. Kwa sasa watanzania tutalaani na kupinga action yoyote kwa madaktari wanayokusudia kuchukua. Hatua hiyo ni kama uhaini kwa kukusudia kuua raia wema wanaokamuliwa kodi kwa kusomesha na kuwalipa mishahara wataalamu. Tunaamini bado kuna nafasi ya kukaa na kupata muhafaka kupitia meza ya majadiriano bila kuilazimisha, kuisulutisha na kuiwekea mashariti ya kuidhalilisha serikali eti kwa kwa kigezo ni kada muhimu. Serikali ina utaratibu wake ambao inapaswa uheshimiwe na watu wote kwa mujibu wa katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Pia tunatoa mwito kwa serikali kuheshimu taaluma za wataalamu wetu kwa kuwapatia vitendea kazi na maslahi yanayokidhi taaluma husika. Suala la kada ya afya lishughulikiwe kwa ujumla wake kwa kuzingatia wataalamu wote waliopo katika kada hiyo bila kuwabagua maana wanategemeana bila kusema Daktari ni bora zaidi, kinyume na hapo ni kuzalisha Crisis nyingine ndani ya kada ya Afya kwa kusababisha chuki kati yao na mgomo baridi utakaoleteleza kuzorotesha huduma ya Afya. Hatua kwa hatua na kwa kasi, Serikali iboreshe maslahi kwa watumishi wake, maana tukisema Sekta ya Afya ni muhimu zaidi, je Walimu wanaopigana kuondoa ujinga na kuzalisha hao wataalamu wa Afya wao si ni bora zaidi? SERIKALI ISIJIINGIZE KATIKA MTEGO WA KUONA KADA NYINGINE NI BORA ZAIDI KWA MAANA KADA ZOTE ZINATEGEMEANA! Mfanyakazi wa TRA si bora zaidi, kuliko mtaalamu wa Afya za Mazingira, Mkemia au mhandisi, Mwanajeshi si bora zaidi Kuliko Daktari, na wala Daktari si bora zaidi kuliko Mwalimu, na Wala WABUNGE si bora kuliko watu wengine. Na kinyume chake ni hivyo hivyo. Tofauti inayoweza kujitokeza, madharani ni kwa kuhamasisha wanafunzi wengi wapende masomo ya Sayansi, hivyo ili linaweza kufanyika kwa wataalamu wa sayansi kupewa motisha na hata ikibidi nje ya mishahara yao. lakini suala la mishahara lazima liwe na kanuni ya uwiano.
Changamoto ninayoitoa kwa serikali kwa siku za mbeleni na kwa hatua za haraka zaidi, pelekeni kwa wingi wataalamu wa kada ambazo zina impacts za moja kwa moja kwenye maisha ya binadamu katika vyombo vya usalama kama vile jeshini, usalama wa Taifa, police na vinginevyo kwa ajili ya emergency wakati wa dharula. Lakini pia maslahi ya wataalamu wetu lazima yaboreshwe.

Nasilisha kwa maslahi ya Taifa
kama utatulazimisha tufanye kazi sawa, lakini tumechoka kufanywa watoto kwa ahadi za kijinga. Serikali iliahidi yenyewe kuwa mpaka tar 3march watakuwa wametekeleza madai yetu, je waliropoka tu tarehe bila kujua kuwa taratibu zitakuwa hazijakamilika? Halafu hatujasema kuwa madokta ni muhimu kuliko kada nyingine tunachopigania ni maslahi yetu na wagonjwa wetu ili tutoe huduma kwa moyo wote, sasa kama sekta nyingine zinaridhika au zinaogopa kudai haki zao tufanyeje?au ulitaka madaktari tugome kudai na haki za mapolisi,walimu,wanasheria,na every other sector?
 
Mweeee mtoa mada kweli haelewi nini kinachotakiwa madaktari endeleeni na mgomo wenu bana hawa jamaa wanawachezea sana hata sisi walalahoi tuna wasupport kwa sana kama ningekuwa na akili za darasani na mimi ningesomea udaktari hawa jamaa wanafanya kazi sana usiku na mchana hawana weekend hawana sikukuu iweje fani hii ifananishwe na fani nyingine mazingira yao ya kusoma ni magumu na ni makali na ya muda mrefu kuliko fani zote duniani hapa na wakimaliza wanakula kiapo ha wa watu mimi nawaheshimu sana watu wa idara hii ya afya
 
tatizo liko wapi sikusema tu nyinyi mnatibiwa kwenye mahospitali ya private hamna shida huo ufisadi wenu na wa nduguzeni iko siku utaisha unataka sisi tufe eeee kwa mgomo wa madaktari basi utaanza wewe
 
Mtoa mada ungejitambulisha wewe ni nani ktk mgogoro kati ya serikali na,madoc!Unaonekana kuisemea serikali eti bado kuna nafac ya
mazungumzo,iko wapi?wakati wanapeana mwezi mmoja wa utekelezaji,mbona hakuna aliyesema kuwa huo muda hautoshi na kwamva uongezwe?njia ya mjadala inapokwama,kinachofuata ni mgomo,maandamano au hata fujo ili kudao haki!Huo utumbo ulioandika ni wako peke yako na mataahira wenzio msiofikiri.Hali ya maisha ya watumishi wa serikali ni mbaya,vipato haviendani na gharama za maisha!Madoc wakimaliza,kada zingine zinafuata mpaka kieleweke.Tumechoja kudanganywa eti serikali haina hela wakati madini yetu yanachotwa kila uchao!
JI
 
Hatua yoyote ile ya kugoma kutoa huduma kwa WATANZANIA wasio na hatia haitakubalika. Kwa sasa watanzania tutalaani na kupinga action yoyote kwa madaktari wanayokusudia kuchukua. Hatua hiyo ni kama uhaini kwa kukusudia kuua raia wema wanaokamuliwa kodi kwa kusomesha na kuwalipa mishahara wataalamu. Tunaamini bado kuna nafasi ya kukaa na kupata muhafaka kupitia meza ya majadiriano bila kuilazimisha, kuisulutisha na kuiwekea mashariti ya kuidhalilisha serikali eti kwa kwa kigezo ni kada muhimu. Serikali ina utaratibu wake ambao inapaswa uheshimiwe na watu wote kwa mujibu wa katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Pia tunatoa mwito kwa serikali kuheshimu taaluma za wataalamu wetu kwa kuwapatia vitendea kazi na maslahi yanayokidhi taaluma husika. Suala la kada ya afya lishughulikiwe kwa ujumla wake kwa kuzingatia wataalamu wote waliopo katika kada hiyo bila kuwabagua maana wanategemeana bila kusema Daktari ni bora zaidi, kinyume na hapo ni kuzalisha Crisis nyingine ndani ya kada ya Afya kwa kusababisha chuki kati yao na mgomo baridi utakaoleteleza kuzorotesha huduma ya Afya. Hatua kwa hatua na kwa kasi, Serikali iboreshe maslahi kwa watumishi wake, maana tukisema Sekta ya Afya ni muhimu zaidi, je Walimu wanaopigana kuondoa ujinga na kuzalisha hao wataalamu wa Afya wao si ni bora zaidi? SERIKALI ISIJIINGIZE KATIKA MTEGO WA KUONA KADA NYINGINE NI BORA ZAIDI KWA MAANA KADA ZOTE ZINATEGEMEANA! Mfanyakazi wa TRA si bora zaidi, kuliko mtaalamu wa Afya za Mazingira, Mkemia au mhandisi, Mwanajeshi si bora zaidi Kuliko Daktari, na wala Daktari si bora zaidi kuliko Mwalimu, na Wala WABUNGE si bora kuliko watu wengine. Na kinyume chake ni hivyo hivyo. Tofauti inayoweza kujitokeza, madharani ni kwa kuhamasisha wanafunzi wengi wapende masomo ya Sayansi, hivyo ili linaweza kufanyika kwa wataalamu wa sayansi kupewa motisha na hata ikibidi nje ya mishahara yao. lakini suala la mishahara lazima liwe na kanuni ya uwiano.
Changamoto ninayoitoa kwa serikali kwa siku za mbeleni na kwa hatua za haraka zaidi, pelekeni kwa wingi wataalamu wa kada ambazo zina impacts za moja kwa moja kwenye maisha ya binadamu katika vyombo vya usalama kama vile jeshini, usalama wa Taifa, police na vinginevyo kwa ajili ya emergency wakati wa dharula. Lakini pia maslahi ya wataalamu wetu lazima yaboreshwe.

Nasilisha kwa maslahi ya Taifa

Wewe nilivyoanza kusoma hii makala yako nikajua mojakwamoja wewe unamahusiano na serikali. Hapa ni kitu kimoja tu Mr Waziri wa Afya na naibu wake hatuwataki na mimi nasema hivyo kama Mtanzania ninayeipenda inchi yangu. Wapo wengi sana wanaofaa kuchukua hiyo nafasi. Madaktari tupo pamoja sana.
Msimamo wenu umetupa picha nzuri sana ya wapi tunakoelekea.
 
Mtoa mada ungejitambulisha wewe ni nani ktk mgogoro kati ya serikali na,madoc!Unaonekana kuisemea serikali eti bado kuna nafac ya
mazungumzo,iko wapi?wakati wanapeana mwezi mmoja wa utekelezaji,mbona hakuna aliyesema kuwa huo muda hautoshi na kwamva uongezwe?njia ya mjadala inapokwama,kinachofuata ni mgomo,maandamano au hata fujo ili kudao haki!Huo utumbo ulioandika ni wako peke yako na mataahira wenzio msiofikiri.Hali ya maisha ya watumishi wa serikali ni mbaya,vipato haviendani na gharama za maisha!Madoc wakimaliza,kada zingine zinafuata mpaka kieleweke.Tumechoja kudanganywa eti serikali haina hela wakati madini yetu yanachotwa kila uchao!
JI

Umeona eee, katumwa huyu. Asante sana, tumechoka na haya maisha ya kuungaunga huku Vasco da Gama leo Uingereza, kesho Zambia, Keshokutwa anakikao na Bushi. Hizo hela anazozitumia zinajenga Hospitali ngapi nzuri??
Tanzania bila wananch kuamua haitafika mbali
 
Wacha wagome! Mimi sio mmoja hao Watanzania uliowataja kwamba watalaani na kupinga action za madaktari!!

Madaktari wametumia njia sahihi kudai haki zao na wakapuuzwa!Kipindi cha kudanganyana kama watoto kimepitwa na wakati!

I support you doctors 100%! It's either now or Never!!

hivi waziri kupuuza wafanyakazi wake ipo kwenye katiba? Waziri kulidanganya bunge ipo kwenye katiba? Inaonekana wanufaika wa jasho la wananchi wanahaha kutafuta uhalali wa kuendea kuchumia kwenye matumbo yao. Muhimbili imegeuzwa dispensary siku hizi kwanini tusiipiganie? Watu wamegeuza wizara ndo mashamba ya bibi badala ya kuboresha afya za watz wao wanahamishia mapato apollo, hata kwa mafua? Tunashukuru wale wanaounga mkono na itajulikana viongozi wa nchi hii wanajali nini? Wananchi waendelee kufa au yeye aachie madaraka. Lazima ile tabia ya kugeuza ofisi za umma ni sehemu ya ufalme iishe. Hii ni mali ya wote, wanaolipa na wasiolipa kodi. Wenye machungu nategemea kesho wataingia barabarani kushinikiza mponda na nkya wajiondoe ili jumatano isifike. Sisi sote ni wagonjwa,na inauma sana kuona mtu anaona kujiuzulu ni gharama kulilo roho za watu.
 
Back
Top Bottom