Mgomo mkubwa wa wenye vituo vya mafuta 2011!

In fact kilichotakiwa kitendeke ni hicho, lakini uwezo huo hana. Yeye na kutabasamu kwake, hahahahahaa! hawezi, kwanza wauza mafuta ni washikaji zake.
 
Watanzania wanajua na dunia inajua, kuna ugonjwa wa kuogopa kufanya maamuzi-Edward Lowassa
 
Ingawa sija tia mguu kituo cha mafuta lakini hili lilitegemewa kutoke J'tatu, kimsingi unapo chezea mipango ya kibiashara kama unacheza draft haya hutokea.
Watanzania waishio vijijini ambao ni wengi kuliko wa mjini kwa asilimia kubwa hutumia zaidi mafuta ya taa, na kipato chao walio wengi ni chachini. hivyo nilifikiri walio soma uchumi humo serikalini wangeliona hili na kuweka some sort of a price sealing kuwalinda hawa. na kuzuia uchakachuaji wa dizeli na mafuta ya taa.
dizeli na petroli kwa sasa ni viungo muhimu katika uchumi ukiondoa utumiaji mkubwa ufanywao na mitumba yetu kutoka japani na kwingineko, majenereta kwa sasa hutumia zaidi.
ilichumi usitetereke kutokana na madhara ya kupanda kwa bei ya mafuta si tanzania tu bali duniani kote serekali yenye akili inge jizuia kuteteresha bei za mafuta, hapa walitakiwa Kwa kiingereza tu waite creative Tax planners ambao wange buni chanzo mbadala cha mapato ya serikali kwa mwaka wa fedha ujao, lakini kwa sababu hao watu ama hawaja ajiriwa ama wameendalikizo basi hilo haliku fanyika.Sasa serikali ina taka mapato na katika vyanzo vichache mafuta ya aina zote yamo isipokuwa ya kupikia inawa hili inabiidi nihakiki kama hayana kodi za ziada.
Nafikiri mara nyingine njia ya kujifunza kutembea viizuri ni kuanguka, kwa mtazamo huu hawa wenye vituo vya mafuta hawa lazimishwi kuuza, kwa sababu mafuta kwenye vituo vyao ni mali yao. wasiuze mapaka watu wote tum,alize tulio nayo kwenye matangi(tanks) ilitupate nafasi ya kuanguka na kujifunza kutembea vizuri ( na kupanga uchumi wa nchi yetu kwa upya).
Naomba kutoa hoja.
 
Hii kasumba yote waliyoileta ni serikali ya CCM, Hawa jamaa ndio kwanjia moja au nyingine wanahaki ya kugoma kutokana na muda wa serikali hii kushusha bei ya mafuta kwa muda wa siku moja tu haiingii akilini! Naomba msininukuu vibaya hata mimi napenda sana mafuta yashuke bei lakini hawa jamaa wenye vituo vya mafuta wakati bajeti ilishapitishwa nao pia walishanunua mafuta kwa bei iliyokuwepo ambayo ni ya juu kulingana na utaratibu wa serikali kushusha bei lazima wenye vituo ile kwao! kwa wazo langu ni kua hawa jamaa wangepewa muda kama wa wiki moja wawe wameuza mafuta kwa bei iliyokua inaendelea and then baada ya muda huo kuisha ndipo waanze kuuza mafuta kwa bei pungufu tuliyoisikia hapo jana! unazani wenye vituo wanapenda kuingia hasara???...!

Bajeti ilisomwa Mid June, Tangazo la kushusha bei limetoka August.

Unataka kusema stock ile haijaisha? Mbona mafuta ya ta yalipanda siku iliyofuata!!??
 
tunawezaje kujustfy kwamba akiba ya mafuta waliyonayo wamenunua kwa bei ya zamani, kumbuka ni zaidi ya mwezi sasa toka wamepunguziwa hizo tozo, yaani from 1st July. lakini pia mbona bei zikipanda hawasubiri mpaka akiba waliokunayo iishe?
Unadhani hata sisi watumiaji wa hayo mafuta tunapenda hasara?


Mbona mafuta ya taa walianza kuuza kwa bei mpya tangu Julai mosi, kwa stock ya zamani?
 
Leo asubuhi nimetembelea vituo kumi sijapata kitu.

Itabidi niache gari mjini nirudi kwa mguu home, sina hakika kama daladala zitaendelea kupiga kazi hadi jioni kama mambo ndio hivi
 
Serikali ya JK haina kabisa utamaduni wa kushuka bei vitu. Siku zote ni mbele kwa mbele tu. Mwaka 2006 mara tu genge lake na EL walipoingia madarakani waliweka mkakati wa kulinda mazingira (misitu) na ghafla bei ya mkaa ilipanda toka sh 12,000 hadi 30,000. Na halafu yake wakauchuna.
 
wana jf!kuna sms inayosambaa kwa sasa ya kuwa serikali imelazimisha kushusha bei ya mafuta kuanzia tarehe 1 august,hivyo wauza mafuta watagoma j3.wanashauri wananchi wajaze mafuta ya kutosha kipindi cha mgomo! MY NOTE isije ikawa wanalazimisha kuuza ili j3 wasije uza kwa bei ya chini

Nahisi kama wameanza kugoma kwani leo nimepita kwenye vituo nilivyovizoea na kuambiwa hamna wese!!
 
Wenye vituo vya mafuta tusiwabembeleze sana , nimesikitishwa kuona wameanza kuleta ubaguzi mkubwa kwani jana kulikuwa na kikao cha wafanyabiashara wa mafuta wenye asili ya Asia kwenye Hotel ya Loyal palm , sijasikitishwa na kikao chao lakini nimesikitishwa na kauli zao za kusema sisi ndio serikali na wakigoma wao serikali haiwezi kufanya kazi, pia kitendo cha jamii moja kwenye bihashara fulani kutenga wenzao. nadhani ni wakati wa serikali kuchukua shell zote na kuwalipa fidia na ziendeshwe na TPDC na TIPPER
 
Wadau jana nikiwa natoka kazini nilipita sheli zote mpaka maeneo ya kwangu kwenye kiota bilabila hakuna petroli na kulikuwa na deasel kwa baadhi tu sijui hali ikoje asubuhi hii maana sijatoka bado na kimkebe changu cha mkopo hakina kitu najipanga kudandia dala dala mda si mrefu
 
Wenye vituo vya mafuta tusiwabembeleze sana , nimesikitishwa kuona wameanza kuleta ubaguzi mkubwa kwani jana kulikuwa na kikao cha wafanyabiashara wa mafuta wenye asili ya Asia kwenye Hotel ya Loyal palm , sijasikitishwa na kikao chao lakini nimesikitishwa na kauli zao za kusema sisi ndio serikali na wakigoma wao serikali haiwezi kufanya kazi, pia kitendo cha jamii moja kwenye bihashara fulani kutenga wenzao. nadhani ni wakati wa serikali kuchukua shell zote na kuwalipa fidia na ziendeshwe na TPDC na TIPPER

Godwine,amini usiamini serikali haiwezi kufanya kitu kwa hawa watu wa Asia na waaarabu.Uchumi wa Tanzania unashikiliwa na hawa watu na watanzania hawaelewi chotechote kwasababu wangejua wasingweza kuruhusu.Hapa wanaserikali yao,bunge lao na kama usemavyo walikutana Royal Palm na Kitakachoamriwa hapo ndicho kitakachofuatwa.Watanzania tutasema yote kwa kukubali to be colonised by Foreigners
 
..Serikali legelege ambayo inanyoooshewa kidole na kupigwa mkwara na Mutu yenye Pesa.
kama tunafika mahali ambapo Serikali inatunga Sheria na halafu kwasababu ya ULEGELEGE inashindwa kusimamia Sheria, basi Nchi imeuzwa
 
Wadau jana nikiwa natoka kazini nilipita sheli zote mpaka maeneo ya kwangu kwenye kiota bilabila hakuna petroli na kulikuwa na deasel kwa baadhi tu sijui hali ikoje asubuhi hii maana sijatoka bado na kimkebe changu cha mkopo hakina kitu najipanga kudandia dala dala mda si mrefu
Haziitwi SHELL ila filling stations. Shell ni kampuni ya mafuta kama zilivyo BP, TOTAL etc
 
Back
Top Bottom