Mgomo mkubwa wa wahadhiri Ustawi wa Jamii

jamani kwani solution pekee katika hali kama hizi huwa ni kufunga vyuo tu? mbona wanaingiza wanafunzi na wazazi/walezi katika gharama zisizo za lazima?poleni wadauMungu yupo atasikia sala zetu
Watoto wa watu wanaoishi hosteli binafsi karibu na chuo wanachanganyikiwa kweli hawajui hatma yao....uongozi mbovu unasababisha maisha magumu sana kwa watoto wa watu.
 
Back
Top Bottom