Mgomo; mgomo; mgomo:cwt ya tangaza mgomo wa walimu nchi nzima kuanza jumatatau 30july 2012

master gland

Senior Member
Apr 3, 2012
198
60
Ndugu wanajamvi;
Raisi wa CWT ametangaza mgomo wa walimu nchi nzima utakaonza jumatatu 30/7/2012 hadi 03/8/2012
Kama madai ya walimu hayajatekelezwa mgomo utaendelea tena baada ya kufungua shule:
IFUATAYO NI SMS INAYO SAMBAA KWA SPEED OF LIGHT INAYOTOKA KWA MAKAATIBU WA CWT MIKOA NA WILAYA
''RAIS WA CWT AMETANGAZA MGOMO WA WALIMULEO. MGOMO UNAANZA JUMATATU 30JULY HADI 03 AUGUST.KISHA BAADA YA KUFUNGUA SHULE MGOMO UTAANZA TENA HADI KIEELEWEKE.NI MGOMO WA WALIMU KUBAKI NYUMBANI-WAJULISHENI WALIMU WOTE''
Safari hii walimu wako determined wako tayari kwa lolote LIWALO NA LIWE kama noma na iwe noma
UTASSHANGAA MAHAKAMA ZETU ZINAFANYA KAZI WEEKENDI HEBU TUCHEKI TUONE
Source:
MAKATIBU WA CWT MIKOA NA WILAYA
CHEKI MEDIA SAA 2USIKU
 
tuone kama cwt itakaidi amri ya serikali kama ilivyotokea kwa madaktari.
 
tuone kama cwt itakaidi amri ya serikali kama ilivyotokea kwa madaktari.
Jamani msidanganyike mahakama ilishatoa hukumu. Waalimu wamefuta sheria na mahakama ya kazi ilishatoa hati kwa walimu waendelee na hatua inayofuata. Serikali ilikata rufaa na mahakama imeshatoa hukumu ya rufaa kuwa kila upande utumie busara. Busara ya walimu wao wamesema ni kugoma kwa kuwa walimu wamehangaika na serikali toka april 2010 serikali haikutaka kuwasikiliza hata kidogo
source; mmoja wa viongozi waandamizi makao makuu ya cwt
 
Mkuu nina mushkeli na ukwel wa taarifa yako,juzi Mkoba alionesha cheti cha kufeli kwa mediation. Ninavyojua mgogoro wa walimu ni wa kimaslahi (dispute of interest). Sheria ya kazi inataka migogoro ya aina hii ianzie kwenye mediation, kabla haijaingia kwenye hatua nyingine. Wasiwasi wangu juu ya taarifa yako inakuja hapa,kama mgogoro ungekuwa umeshafika CAT basi Mkoba angeonesha hukumu ya CAT ila kitendo cha Mkoba kuonesha hati ya kufeli kwa mediation,maana yake mgogoro ulikuwa kwenye mediation.

Back
Top Bottom