Mgomo DUCE

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
Hali ya mikopo imechukua sura mpya.wanafunzi wamebandikwa madeni bodi inadai bajeti imeshapita.lakini fedha za wanafunz hazikulipwa.wanafunzi wanaelekea bodi sasa kuomba ufafanuzi.
 
Mmmm wats wrong tena jamani.... ok tunahitaji habari kwa kina iliyokamilika koz mtoaji source hakuidizine ijikamilishe
 
wanafunzi mwaka wa 3 wamegundua wanadaiwa mapesa ambayo walipaswa kuwa wamelipiwa na bodi ya mikopo.bodi wanasema bajeti imepita,lakini watu waliopaswa kulipiwa hawajalipiwa.implication ni kwamba wakishamaliza chuo hawana nguvu kisheria kudai bodi na chuo hakitambui mkataba kati ya bodi na mwanafunzi.so watalazimika kulipa wao ili wapate vyeti,wakati huo pesa ambazo hazikulipwa,watakatwa kwenye mishahara yao.so kifupi fedha yao imeliwa au na bodi au chuo na watalipa mara mbili pesa ambayo hawakutumia.
 
Tuliomaliza 2009 tulikutwa na maafa ya hivi kiasi mtu alikutwa akidaiwa zaidi ya 800,000 na mpaka leo watu wengi wamezuiliwa kupewa vyeti vyao mpaka pale unapolipia hlo deni

For sure,tunahitaji katiba mpya kabisa ndo matatizo haya yataisha
 
jitahidi kufanyta mapema wanaweza kupunguza na muda wa kujadili bajeti na posho zikabaki zilezile, nayo inaweza kuwa 'Mswada binafsi'
 
Hi serikali ya CCM itaacha lini dhuruma,hakika hukumu inawasubiri.
 
Back
Top Bottom