Mgomo dhidi ya jeshi la polisi nchi nzima

BASHADA

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
513
148
Nikiwa na uchungu, machozi yakinilenga lenga nimetafakari jambo hili.

Napendekeza tuwe na mgomo dhidi ya Jeshi La Polisi nchi nzima. Kila mtu amsusie polisi popote pale, tukikutana barabarani, unapita kwa mbali usimsogelee, kwenye hoteli, bar etc. ukimkuta amekaa hakuna raia kumsogelea, na akija kukaa ulipokaa unaondoka unamwacha peke yake. Kwenye mabasi akija kukaa karibu yako unaondoka anakaa peke yake.

Namaanisha tunawasusia kwa kila kitu mpaka wajione kama wenye ukoma vile.
 
Haitasaidia, Sanasana Tutawakaribisha na kuwapa uhuru WEZI,VIBAKA NA WAHALIFU.kuna mahali pia nilisikia watu wanashauri waue polisi mmojammoja kimyakiya.Je kama ni ndugu zako?Utaua?
 
mmmhhh..sio polisi wote ni magamba,..kuna polisi mmoja mshkaji wangu ni cdm damu mpaka namwambia someday watakukimbiza huko polisi
 
ukivamiwa na majambazi utafanyaje na polisi yupo karibu na wwewe au kituo cha polisi kipokaribu....ukikamatwa unaiba mke wa mtu jamaa akaanza kukufyeka mapanga huwezi kujisalimisha mwenyewe polisi, ikitokea ngumi mtaani au mkeo anapigana na nyumba ndogo yako ameshakatakata pamanga watu kadhaa na anasogelea kwako huwezi ita polisi....cha maana ni labda tufanye maandamano tu to demonstrate our anger against them ili iwekwe kwenye record yao....siku nyingine tukiandamana hawataua tena....huyo aliyekufa ni martyr....
 
Dawa ni kuiondoa CCM inayowapa maelekezo ya hovyo. Sidhani kama hata wao wanapenda kuuwa raia wasiotishia amani. Nao ni binadamu na wanawandugu ambao si polisi pia. Wengi hawapendi maelekezo hayo, ila watakula wapi?
 
nyie juzi juzi uamusho walikua wanasoma dua zao police walipiga mabomu mkapongeza kazi yao .na hapo ni kati ya kazi zao
 
Sikubaliani na wazo lako! tatizo ni baadhi ya RPC wanatumika mbaya!! Mfano ni huyu wa Iringa na Morogoro!! Kwanza ni wavuta bangi, Huyo wa Moro namjua ananyumba dogo sehemu, nitaanza kumwinda taratibu!!
 
Mimi nafikiri kwa kuwa sheria ziko wazi viongozi wa vyama watinge mahakama, kama itashindikana yaitishwe maandamano ya kitaifa ya amani.
 
Sikubaliani na wazo lako! tatizo ni baadhi ya RPC wanatumika mbaya!! Mfano ni huyu wa Iringa na Morogoro!! Kwanza ni wavuta bangi, Huyo wa Moro namjua ananyumba dogo sehemu, nitaanza kumwinda taratibu!!

Mkuu wa Ukenyenge kamata, piga, ua huyo RPC MWIZI
 
Haitasaidia, Sanasana Tutawakaribisha na kuwapa uhuru WEZI,VIBAKA NA WAHALIFU.kuna mahali pia nilisikia watu wanashauri waue polisi mmojammoja kimyakiya.Je kama ni ndugu zako?Utaua?

Polisi ndio wanaongoza vibaka pa kuiba kwa hiyo usidanganye watu kwamba wanasaidia,,,kama una ndugu polisi mshauri aache ile kazi ni laana tupu
 
kuna polisi wema wengi tu. ila wanaamrishwa wanashindwa kukataa.jeshi ni kutii amri. mimi wengine nawajua ni wapinzani lakini wamo katika jeshi. ipo siku ltaasi kama wanalazimishwa kuua raia
 
Haitasaidia, Sanasana Tutawakaribisha na kuwapa uhuru WEZI,VIBAKA NA WAHALIFU.kuna mahali pia nilisikia watu wanashauri waue polisi mmojammoja kimyakiya.Je kama ni ndugu zako?Utaua?

Kama wanaua ndugu zetu na wao wafe
 
Haitasaidia, Sanasana Tutawakaribisha na kuwapa uhuru WEZI,VIBAKA NA WAHALIFU.kuna mahali pia nilisikia watu wanashauri waue polisi mmojammoja kimyakiya.Je kama ni ndugu zako?Utaua?

ndiyo, hatakama ni nduguyako, babayako, mama yako ua, huu ndo utaratibu wetu siku zote.
 
Back
Top Bottom