Mgomo chuo cha ifm

Greek

Member
Nov 8, 2010
68
1
Mgomo ndio umeanza madai ni mengi sana lakini chanzo kikuu ilikuwa ni baada ya wanafunzi wengi kucheleweshewa na wengine kunyimwa kabisa ID mtihani uaonza leo kwa sababu tu hawajafikisha 70% ya ada, waliojitahidi kufikisha hicho kiwango wengi wao mpaka muda huu hawajapewa hizo ID na huku mtihani ulikuwa uanze leo asubuhi, hizo ID mpya zimeanza kutolewa ghafla katikati ya wiki iliyopita bila utaratibu maalum na kwa usumbufu mkubwa huku wahusika ambao ni management wakiwa wamejaa maneno ya dharau na kejeli, mpaka jana jioni wengi wa wanafunzi wamekuwa wakilia na kuzunguka sana hapa chuoni bila kupewa hizo ID, sasa jiulize hizi ni final examz sijui tunawezaje kujiandaa na examz ndani ya stress kama hizi. Naomba watu wa habari msikurupuke na kuja kutoa taarifa ambazo hamzijui na wala hamna uhakika nazo hasa nyie Clouds.
 
according 2 prospectus leo 28th ndio tarehe ya mwisho ya kulipa hiyo 2nd installment ambayo ni 70% which means bado ninao muda sasa kwanini wanipe stress kwa kuninyima ID wakati deadline haijaisha?
 
Back
Top Bottom