dah, we farkina..ebu dadavua kidogo neno "kigoma" limenshtua kidogo.
dah, we farkina..ebu dadavua kidogo neno "kigoma" limenshtua kidogo.
astaghafilulah, walahi huyu dr anaweza kumzalisha huyu mjamzito kwa kwa maneno tu
waheed mambo vp?upo?astaghafilulah, walahi huyu dr anaweza kumzalisha huyu mjamzito kwa kwa maneno tu
Mjamzito: dokta mtoto hachezi tumboni!
Dokta: meza mpira na filimbi na ukiona bado hachezi meza kadi nyekundu ili atoke kabisa.
Nipo mkuu, mambo niaje arifuwaheed mambo vp?upo?