Elections 2010 Mgombea wa Ubunge wa TLP-Nkenge aombwa kujitoa dakika za Mwisho

Methusela

Member
Aug 3, 2010
8
2
Mgombea ubunge kwa tiketi ya TLP jimbo la Nkenge anaombwa kujitoa kwa kuwa jina lake limewekewa bendera ya UDP badala ya TLP. Hivi ninavyoleta habari vikao vinaendelea kumshawishi ajitoe. Mgombea huyu Wiliam Kweyamba ndie anaepewa nafasi kubwa ya kushinda katika kinyang'anyiro hicho
tutaendelea kuwaletea habari.
 
Halafu NEC wanasema ni watu makini!!!! Wachovu wale wotee wanaendelea kuzeekea pale kwa sababu ya kuipendelea CCM kwa kila uamuzi! Asijitoe, lakini akishindwa apeleke kesi mahakamani kuidai NEC mabilioni!!
 
Kodi yako italipa tu hakuna shida!!!!!!!!!!!!!!!
 
Na asithubuti kujitoa, kama hayu mcho was NRA kisha kujidai anamuunga JK, anafikiri atapata ccm viti maalum. bora uchaguguzi jimbo hilo uahilishwe kuliko kukubali ujinga huu wa nec. hivi kwani ha wazee hawa RIP mapema kutuuondelea hii dhulma.
 
Back
Top Bottom