Mgombea wa Ubunge CDM 2015 SHINYANGA MJINI ni Rachel Mashishanga

Chama kina hazina ya vijana wengi kama wakina matola!huu ndo upuuzi ambao unapelekea ccm kuendelea kuwa madarakani yaani vijana wanafiki ndo makini kweli mungu saidia tanzania tunaangamia.mamajack karibu shy town
mie nipo shy.
 
Join Date : 16th August 2012
Posts : 9
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0
dah,nilikuwa sijabaini hiki kitu.
 
Namtakia kila lakheri Rachel na aonyeshe kwa vitndo kama anaweza maana ndugu zangu wasukuma kuongozwa na mwanamke lazina kuwe na uwezo wa ziada otherwise....watamshambulia na matusi
 
Namtakia kila lakheri Rachel na aonyeshe kwa vitendo kama anaweza maana ndugu zangu wasukuma kuongozwa na mwanamke lazina kuwe na uwezo wa ziada otherwise....watamshambulia na matusi
 
zaha zaha,usipanic,mie nia yangu ni kumshauri tu huyu mweshimiwa,wewe nia yako unaijua moyoni mwako.
Lakini pia unanipa wasi wasi na nia yako kwa huyu mweshimiwa sana mp rahel,mbona unakuwa na jaziba sana?? Kwani vipi??acha siasa za kiccm bana chadema always siasa safi.na isitoshe humu jamvini what we do ni kushauri tu,kama unachokisema kina hoja za msingi mbona kuchanganyikiwa????

siasa za cdm ni siasa safi sawa ila wewe mamajack unafanya siasa za ufitini na majungu kwa kutumia mwamvuli wa siasa safi ndani ya cdm.
Unasema kwamba unashauri sasa unashauri nini hapo mbona hueleweki toa ushauri wako basi tuuone?
Jembe letu rachel njoo shy achana na hawa wafitini na siasa zao za kibaguzi.
 
Namtakia kila lakheri Rachel na aonyeshe kwa vitendo kama anaweza maana ndugu zangu wasukuma kuongozwa na mwanamke lazina kuwe na uwezo wa ziada otherwise....watamshambulia na matusi

Exactlly!umenena vema,hizi ndio hoja za msingi zakuzijadili hapa jamvini (gender)sio kutoa hoja za ushabiki,jamii yetu maeneo mengi bado mwanamke haaminiwi kama anaweza japo kuna baadhi ya wanawake wameproove wrong kama mdee na wengine walionyesha uwezo wao kama rose kamili na bado wanapambana,problem is our culture,socialisation from the family level.atleast siku zinavyoenda hali inaenda ikibadilika taratibu,ndio maana nasema kuna haja yakuwasapoti wanawake kama rahel wanaoonyesha wanaweza.
 
Join Date : 16th August 2012
Posts : 9
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0
dah,nilikuwa sijabaini hiki kitu.

Baini sasa kwani hoja ni lini umejiunga au nini unachotetea hizo ndo siasa za kichadema nini?
 
Huyu ndo yule viti maalum wa CDM aliyesema wazungu wanachukua mchanga wa dhahabu wanaenda kuotesha ulaya?! Af mnataka agombee kwenye jimbo? Kaazi kwelikweli...

Kweli wazungu huwa wanachukua mchanga huku kwetu shinyanga na hatuelewi huwa wanapeleka wapi na kwa ajili gani.Safi sana Mh.kwa kutuwakilisha vyema.
Mh.ubunge ni wako shy town
 
Shy hatuna watu kama wewe labda utakuwa unaishi machame.
zaha acha ushamba wewe,yaani kwa vile nimemkosoa mashishanga ndo nipo machame????hahahahaha,pole na siasa za ukanda ndugu yangu.labda tu nikusaidie kitu ambacho nahisi kitakuwa na maana.tunavyotaka watu kama rechal wafanye kazi za kuonekana kwenye jamii,ndiyo tunahakikisha kuondoa siasa za ukanda na ukabila,sio kwa sababu watu flani wanafanya vizuri wakasifiwa,sasa kwetu iwe shida kuwakosoa wa wale walioko upande wa kanda zetu.tunapaswa kuwaambia ukweli ili wafanye kazi effective,na baadae tutawasikia wanashine na ukanda mzima utaoneka unashine.pole sana maana unaishi kwa kuhofia wamachame!kiboko yako eeeeeeeeeee,
 
Kibororoni@work.
 
wena kaji gete,o ndoho masala no bhebhe!!!
badilikeni,msipende kudai kusifiwa wakati kazi zenu hazijizihilishi kwa uma.msiwe walalamishi.and tukubali kukosoana ili tufanikishe kuijenga shinyanga yetu,acheni kupamba bulabo sehemu yenye takataka safisha kwanza then decolate.watu.na huyo rechal akifanya kazi watu wakaona haina hata haja ya hoja za kujipima jf ,ni moja kwa moja kwa wananchi .kwanini asisemwe kasulumbai asemwe rechal.shauri ying'we.mtigwaga ya baguhe.
 
Chama kina hazina ya vijana wengi kama wakina matola!huu ndo upuuzi ambao unapelekea ccm kuendelea kuwa madarakani yaani vijana wanafiki ndo makini kweli mungu saidia tanzania tunaangamia.mamajack karibu shy town
Kama ulikuwa unadhani au unafikiri mimi ni Mwanachama wa Chadema pole sana, mimi ni Mwanaharakati huru ambaye nasimama katika kweli tu, na Chadema ndio chama tunachokiamni kwa sasa kuongoza harakati hizi. sina hata ndoto ya kugombea hata udiwani.

  • user-offline.png
    Zaha

    17th August 2012 06:16
    #25
    Member Array

    Join Date : 16th August 2012
    Posts : 14
    Rep Power : 303
    Likes Received0
    Likes Given0

Matola acha matusi. Rachel ni jembe ambalo huwa halikurupuki katika hoja zake nimegundua kitu kinachomsumbua rachel ni usukuma wake na cdm wanataka wachaga tu ndio waonekane majembe!vp matola unaendelea na uongozi segerea?
Ha ha ha wanataka Mchaga hata Shinyanga? Kumbe ni Msukuma si wenzio tulikuwa hatujui! Hovyo kabisa, mpanda basi la Ukabila. Kwani yulle Magadula aliyegombea Shinyanga Mjini alikuwa kabila gani? Na kule Segerea nani alikuwa Mchaga kati ya Mpendazoe na Rachel?
 
Binafsi ninamkubali sana huyu Rahel. Nimewahi kusikiliza hoja zake bunge la June mwaka huu. She is smart ila sijajua kiwango chake cha kuuzika kwa wananchi.
 
Binafsi ninamkubali sana huyu Rahel. Nimewahi kusikiliza hoja zake bunge la June mwaka huu. She is smart ila sijajua kiwango chake cha kuuzika kwa wananchi.

Ni kweli yuko smart huyu dada,hata michango Yake ilikuwa unique,sasa sijui Kama anataka kugombea huko kwao..
 
Back
Top Bottom