Mgombea wa TLP ananafasi kubwa ya kumshinda Komu Ubunge wa Africa Mashariki

Albano

Member
Jul 21, 2009
41
10
Kwa habari nilizozipata hivi karibuni ni kwamba graph ya mgombea wa TLP ndugu Mlindoko imepanda kwa kasi sana kiasi cha kuhatarisha kura za Komu na inasemekana Augustino Lyatonga Mrema anampigia debe kali na inaelekea anakubalika kwa kasi. Mwenyekuujua ukweli zaidi atujuze tafadhali
 
kumbe uliouandika sio ukweli.? nasikitika tu nimejisumbua kuuusoma. Siku nyingine kama hauna ukweli basi peleka huo uogno fb
 
Ilo liko wazi hata kama ni mwendawazimu lazima akupe jibu kama ilo,,fikilia wapiga kura ni MAGAMBA juzi tu hapa wamepewa kichapo cha mbwa mwizi unategemea wataisuport CHADEMA???Mrema ni CCM damudamu kazi kweke itakuwa ndogo sana.......
 
wapiga kura ccm wagombea ccm A na ccm C ama tlp unategemea nini
 
Huyu mrindoko aligombea nafasi hiyo kupitia Magamba akapigwa chini, ila kwa uroho wa madaraka kakimbilia TLP.
Micah E. Mrindoko.

Mmiliki wa kituo cha Engen Petroleum Ltd pale Ubungo opposite na Ubungo plaza, habari zilizopo ni kua hanunui tena mafuta depot Kama inavyotakiwa sababu ni kua amehamishia sehem kubwa ya mtaji wa mafuta kwenye kampeni.

Hivyo kuna uwezekano akanyang'anywa hicho na makao makuu ya Engen.
 
Kwa habari nilizozipata hivi karibuni ni kwamba graph ya mgombea wa TLP ndugu Mlindoko imepanda kwa kasi sana kiasi cha kuhatarisha kura za Komu na inasemekana Augustino Lyatonga Mrema anampigia debe kali na inaelekea anakubalika kwa kasi. Mwenyekuujua ukweli zaidi atujuze tafadhali

Gazeti la HabariLeo:

Wagombea kutoka vyama vya upinzani ni Anthony Komu (Chadema), Dk. Fortunatus Masha (UDP), Juju Danda (NCCR Mageuzi), Michael Mrindoko (TLP), Mwaiseje Polisya (NCCR Mageuzi), Nderakindo Kessy (NCCR Mageuzi) na Twaha Taslima (CUF).

Hata hivyo, Mrindoko amewekewa pingamizi baada ya wanachama watatu, Hamad Rajab Tao, Othman Mgaza na James Haule kufungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania wakidai kulikuwa na ukiukwaji wa Katiba na kanuni za TLP katika uteuzi.
 
Kwa majority ya wabunge wa c.c.m walivyo vilaza wasiojua nini maslahi ya nchi na nini umuhimu wa kuwapeleka watu wenye uwezo kaka bunge la E.A.C,wala ili halina mjadala,watakaopitishwa ni aidha mgombea toka C.u.f au T.l.p,sijui uwezo wa wagombea toka upinzani,ila c.c.m wao wataangalia ni vyama gani viko karibu nao na si uwezo wa wagombea, wabunge wa c.c.m wameitumbukiza nchi motoni kabisa,na kutufanya hata tudharaulike kwa wana jumia wengine kwa kuonekana kua majority ya Watanzania akili zetu na za wabunge wa magamba ni sawa!
 
Siku hizi wafanyabiashara ndiyo wagombea wa nafasi za uongozi!! Na nia yao ni kuendeleza magumashi ya biashara zao. Sijui mzee warioba na tume yake wanaliona hilo, inabidi hivi vitu vikae sawa maana wananchi kutokana na njaa zao, wanajikuta wakirubuniwa kwa vijisenti na kuacha kuchagua viongozi bora.
 
Hii sio habari mpya. Kila mtu anayefahamu siasa za nchi hii zilivyo kama Yanga na Simba hategemei mgombea wa Chadema achaguliwe kuingia bunge la EAC.
Mkuu Mwita Maranya, nawakubali sana ma realist ambao wanaukubali ukweli daima, hata kama ukweli ukweli wenyewe ni ukweli mchungu!.

Lets hope this time, wabunge wa CCM, wataweka maslahi ya taifa mbele kwa kuweka pembeni partisan politics na kutupatia wabunge bora na sio bora wabunge!.
 
kuna manung'uniko cdm jinsi jina la komu lilivyopitishwa. hivyo anaweza kukosa hata baadhi ya kura za cdm

Mkuu Mwita Maranya, nawakubali sana ma realist ambao wanaukubali ukweli daima, hata kama ukweli ukweli wenyewe ni ukweli mchungu!. Lets hope this time, wabunge wa CCM, wataweka maslahi ya taifa mbele kwa kuweka pembeni partisan politics na kutupatia wabunge bora na sio bora wabunge!.
 
chadema kura zenu zipo kwa wananchi kwa hiyo siku nyingine mkisikia kura zinazotegemea magamba mnategemea nini?
wao wenyewe kupata hizo nafasi kwao rushwa ilikuwa njenje mnategemea hao jamaa zao tlp na cuf wataacha kutoa mfumoccm?
 
kuwapisha CDM ni kitu kisicho wezekana hata kidogo kwani CDM ni adui wa wate CCM pamoja na CUF, TLP sitegemei kuona eti hivi vyama vinawapigia kura CDM (adui).
 
Kwa habari nilizozipata hivi karibuni ni kwamba graph ya mgombea wa TLP ndugu Mlindoko imepanda kwa kasi sana kiasi cha kuhatarisha kura za Komu na inasemekana Augustino Lyatonga Mrema anampigia debe kali na inaelekea anakubalika kwa kasi. Mwenyekuujua ukweli zaidi atujuze tafadhali

Magamba Kazini kama kawa.
 
Back
Top Bottom