Mgombea wa CHADEMA Kigoma kusini ashinda rufaa yake uchaguzi kurudiwa 29/09/11

NDOFU

JF-Expert Member
Feb 23, 2009
656
144
Ni mheshimiwa Abel Gegecha alichakachuliwa kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa kijiji cha Kaseke kigoma vijiji ,ameshinda rufaa yake baada ya hakimu kugundua taratibu zilikiukwa mpaka kumtangaza mgombea wa ccm kuwa mwemyekiti wa kijiji.Kila la kheri mh Abeli Gegecha hatimaye wananchi watampata kiongozi wamtakaye! VIVA CHADEMA!
 
Safi sana MUNGU AMZIDISHIE HEKIMA HUYO HAKIMU, MBONA KESI ZA WABUNGE WALIOCHAKACHULIWA HAZIISHI?? AU HADI 2015??
 
Kila kitu kinaanzia chini' msilete dharau kwa wenyeviti wa vijiji hawa ndio wanaosababisha kura za wabunge na raisi ziwe nyingi,hawa ndio wapo karibu na wananchi kila siku na wamekuwa mtaji wa ccm miaka nenda rudi,tukianza kudharau hivi ina maana 2014 hatutashiriki? Kwangu mimi nimeapa kuineza Chadema vijinini kwani tukianzia huku ndiyo mambo yatanoga zaidi 2015.
 
Hii kali, hata mie nilidhani ni kwa nafasi ya ubunge mkuu!!! wengine utawasababishia pressure buree!!! anyway ni matokeo ya UTAWALA WA SHERIA UNAOSIMAMIWA na KULINDWA na serikali ya CCM
 
Mkuu nilifungua kwa fujo zote hapa dah! Ila fresh 2anze kuwashika kuanzia hapo! Kila la kheri ndugu mwenyekiti.
 
Ni mheshimiwa Abel Gegecha alichakachuliwa kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa kijiji cha Kaseke kigoma vijiji ,ameshinda rufaa yake baada ya hakimu kugundua taratibu zilikiukwa mpaka kumtangaza mgombea wa ccm kuwa mwemyekiti wa kijiji.Kila la kheri mh Abeli Gegecha hatimaye wananchi watampata kiongozi wamtakaye! VIVA CHADEMA!
<br />
<br />
Haki haipotei huchelewa tu na mbado
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom