Mgombea wa Chadema athumiwa Kubaka. Polisi wa wamlinda

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
ni Bwana Msafiri Shaban Kamoto, Mkazi wa Mabibo mtaa wa Barcalona Ni aliewahi kugombea Udiwa kata ya Mabibo 2010.
Mzazi wa mtoto huyo wa miaka 13 bwana Hamis Mussa.
Lakini baada ya kufanya kitendo hicho na kuripotiwa polisi, Polisi wa Urafiki wamegeuza mashtaka na kuwatia hatiani mzee huyo wa maiak 70 eti kwa kosa la kutaka kumua Mtuhumiwa.
Cha ajabu licha ya polisi kugeuza kibao kwa mzee aliekumbwa na tukio hilo. lakini walidai Mh Msafiri Shaban Kamoto amelazwa muhimbi ICU akipatiwa matibabu.
lkn Wazee wa mtaa na wasamaria wema walipofuatilia swala hilo nyumbani kwa mtuhumiwa. walimkuta sebuleni akingalia Mchezo wa Mizwenge.
Inasemakana Chadema wamelivalia njuga kwa kushirikiana na polisi wa Urafiki kulimaliza swali hili kiana

Wazee wamemuomba IGP mwema kuingilia kati.

Source. Annur ya leo
 
Raha ya mitandao ndio hii, na hii ndio nyuzi ya standard ya juu tuipendayo wana JF. Ahsante sana, ni nyuzi nzuri sana na umeandika kwa kiwango cha juu na ubora usio kifani, tumekuelewa na kukusoma na tafadhali usiache kutupa habari. Hongera sana sana.
 
Naona mnaanzisha maada na kuanza kuichangia nyie wenyewe,
 
kuna mwingine wa mtaa wa ali maua alikuwa diwani wa chadema kata ya kijitonyama nae alibaka yatima sasa kesi iko mahakamani
 
Back
Top Bottom