Mgombea wa ccm

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Hizi ni sifa za mgombe uongozi wa ccm ktk ngazi yoyote
JAZIA AU KANUSHA ISIYOFAA
1.lazima uwe mtoto wa kigogo serikalini
2.uwe na charecter za wizi
3.uwe schooless/Hujaelimika
4.uwe mgonjwa ili ukapate matibabu india
5.uwe unakubali kila kitu kwa kusema ndiyo na kupiga makofi
 
7. Uwe mtaalamu wa kukanusha kila kitu haijalishi kuwa ushasahau kuwa ulikanusha kwamba hukukanusha
8. Uwe na element za ushirikina.
 
Hata kama umesoma ina PhD, pokea na fanyia kazi mawazo ya viongozi wako hata kama ni utumbo.
 
1. Uwe ni mtu unaye tetea maslai ya wananchi.
2. Uwe tayari kulaumiwa na wananchi wasio na uelewa.
3. Uwe tayari kutukanwa na vyama pinzan
4. Uwe mvumilivu kuzushiwa uongo
5....
 
1. Uwe ni mtu unaye tetea maslai ya wananchi.
2. Uwe tayari kulaumiwa na wananchi wasio na uelewa.
3. Uwe tayari kutukanwa na vyama pinzan
4. Uwe mvumilivu kuzushiwa uongo
5....
awe mnafki kama wewe!
 
1. Uwe mpole kama rais Kikwete
2. Muelewa kama Pinda
3. Mchapakazi kama Magufuli
4. Unakubalika kama nape Nauye
5...
 
Hizi ni sifa za mgombe uongozi wa ccm ktk ngazi yoyote
JAZIA AU KANUSHA ISIYOFAA
1.lazima uwe mtoto wa kigogo serikalini
2.uwe na charecter za wizi
3.uwe schooless/Hujaelimika
4.uwe mgonjwa ili ukapate matibabu india
5.uwe unakubali kila kitu kwa kusema ndiyo na kupiga makofi

:hat: :A S-coffee:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom