Elections 2010 Mgombea wa CCM atangaza Augustino Lyatonga Mrema kujitoa Vunjo

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
Mkutano wa kampeni ndio umemalizika hapa Himo Makuyuni na mgombea wa CCM Crispin Meela ametangaza kuwa mgombea wa TLP amemfuata leo asubuhi na wamekubaliana kuwa mzee wa kiraracha hatagombea ubunge ila atamuunga mkono Meela duh!
 
Sawa tu. Angalau ameona maandishi ukutani. CCM sasa wampe mshiko mzee wa watu apumzike.
 
Heeee.....siamini km kuna watz bado wanaendelea kumsikiliza mrema aliyefulia na sasa anapiga magoti kila siku kwa kikwete ali aonewe huruma japo ya ukatibu kata kable hajamaliza muda wake
 
Mkutano wa kampeni ndio umemalizika hapa Himo Makuyuni na mgombea wa CCM Crispin Meela ametangaza kuwa mgombea wa TLP amemfuata leo asubuhi na wamekubaliana kuwa mzee wa kiraracha hatagombea ubunge ila atamuunga mkono Meela duh!

Wamekubaliana atampa shilingi ngapi mzee wa kiraracha? manake Lyatonga hawezi kumsaidia bure bure babaangu hata kama anajua hatshinda kama akiendelea na kampeni.
 
Heeee.....siamini km kuna watz bado wanaendelea kumsikiliza mrema aliyefulia na sasa anapiga magoti kila siku kwa kikwete ali aonewe huruma japo ya ukatibu kata kable hajamaliza muda wake

Slaa nae in next 10 years he will sail in same boat!
 
Sitashangaa sana kama ni kweli...infact, of recent i cant tell the colors of mrema...
 
Jk hapo atakuwa amefanikiwa kidogo kwa sababu aliahidi ya kuwa anakazi ya kuhakikisha mrema na lipumba wanastaafu siasa. huyo ameanza bado Professor...............let us wait and see................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom