Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

Uchaguzi umeisha sasa tuangaze mahojiano kati ya lowassa na zuhra yunusu , ambapo kuna mambo ya msingi aliuliza je lowassa alijibu ipasavyo?
 
Wachache ndio walimwelewa Lowassa aliposema akishindwa uchaguzi atakwenda kuchunga mifugo yake. Kadri siku zinavyoenda mifugo aliyoongelea inajidhihiri. Kawaida ya mifugo haipaswi kuhoji wala kuchagua pori la malisho.

Ninasikitika kusema ya kwamba CHADEMA kwa sasa hakuna kuhoji wala kuchagua. "Mchunga mifugo" anatumia fimbo na miluzi kutoa maelekezo ni pori gani wanapaswa kwenda kula, mifugo haina uchaguzi. Lengo hili lilishindwa kutimia akiwa CCM ila ndani ya CHADEMA kaweza "kuchunga mifugo atakavyo".

Nani anahoji matumizi ya pesa? Nani anahoji ziara zisizo na ukomo? Nani anahoji matumizi ya pesa yasiyo na tija? Ukijaribu utaambulia mijeledi. Huko Nyasa walitaka kuchagua lakini "mchunga mifugo" kawachagulia nao wamenyamaza, ama kweli mbuzi hachagui mchungaji bali mwenye mbuzi.

Shime wakati umefika kwa wanachadema kujiondoa kwenye minyororo ya utumwa, sasa ni aibu mitaani kwa mtu kujitambilisha kuwa ni mwanachadema.
 
Vipi nani ana ubavu wa kuhoji maamuzi yoyote yale ya mwenyekiti wa chama chetu pendwa????
 
Pilipili usiyoila yakuwashia nn
 
Sababu ya kisayansi iliyogundulika kwa baadhi ya akina mama ambao wamekaa kwenye ndoa zao kwa miaka kadhaa bila kupata ujauzito ni kukutana kimwili na waume zao huku mawazo yao yote yako kwa mwanaume mwingine.
Ukiangalia muda ulio anzisha thread hii na zingine nyingi kuhusu Chadema ni mapema asubuhi kwa hiyo fikra za hayo unayoandika unazifanya usiku kucha ukiwawaza hao unaotaka kuwaandika. Ziko taarifa kuwa wewe ni wa viti maalum na unajulikana kuwa ulipata mwenza miaka kama mitatu iliyopita lakini mpaka leo NDOA HAIJAJIBU. Sasa mheshimiwa sana unadhani kweli ndoa itajibu kama kweli jamaa aki pampu wewe mawazo yako yako kwa Edo au Freeman? Mbona utamchosha mtoto wa watu na kisha uje uupate muziki wa mawifi?
Hebu acha kuwaza nini cha kuwaandika wanaume wa wenzio usiku, jikite kwenye game na mumeo ili uje uitwe mama nawe hayo mambo ya kiuvccm waachie wenzako hasa baada ya kupewa kacheo kakwenda "kukaa tu bungeni". Huoni mwenzako Mtela katulia?
 
Back
Top Bottom