Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

Nifah, huku nakwepa kukujibu kila wakati. Nakusubiri kule ambako huwa tunaongea lugha moja dhidi ya mikia. Wasije wakanisikia wana mikia.
Hata mimi huwa nakukwepa sana huku sababu ya ule undugu wetu wa Jangwani.
Kule nako nimeadimika sana,ngoja leo nitakuja.
 
Mi nawashangaa sana waTz . Hivi na nchi zingine wagombea walioshindwa wanabezwa na kudharaulika kama ccm wanavyotaka tuamini kwa Lowassa?????????!! Huko U.S. , UK, GERMAN, Itali, Nigeria, Kenya, Senegal etc. Wagombea walioshindwa wanabezwa na vibaka kweli ??!! Mtu aliyepata 40 percent umbeze kwa kipi ?! Hata Magufuli hawezi kumbeza huyo jamaa.

Ila humu Jf kuna mazuzu ya democrasia ( wakimataifa,Mr chin,Motochin,etc) hayalali bila kumbeza kiongozi wa watu . Jifunzeni kuwa wastahamilivu kwa kada isioamini nanyi pamoja
Mkuu unataka kusema Lowassa kashindwa?
Hawa wanajitoa fahamu tu hapa lakini ukweli wa mambo wanaujua na wanamheshimu sana mzee wetu.
 
Mkuu unataka kusema Lowassa kashindwa?
Hawa wanajitoa fahamu tu hapa lakini ukweli wa mambo wanaujua na wanamheshimu sana mzee wetu.

Nani atamuheshimu mtu anayejinyea hadharani!? Fisadi Lowassa alienda kutia harufu ya kinyesi tu Geita...wasukuma walitamani kuhama mji. Huyo fisadi Lowassa anateswa na laana ya kufisadi nchi...ndio maana haishi kutetemeka mwili.
 
Lowassa ng'ombe wanakuhitaji Monduli. Zizini ndio Ikulu yako....hatupeleki vilaza Ikulu ya magogoni sisi. Yani mimi na shahada yangu ya uhandisi nimchague mtu aliyesomea usanii!? Si nitakuwa kichaa wa karne! Tena jitu hata kuongea haliwezi....likipewa jukwaa linaongea kwa dakika 3 tu...sasa huo si uboya....liende Monduli huko.

Hee kumbe una shahada ya uhandisi? Masikini Tz kumbe ndio maana kila kitu kilikuwa kinakwenda hovyo kama wahandisi wenyewe ni kama wewe! Au umekosea ulitaka kusema shahada ya uhanisi?
 
Nenda kacheki website ya bunge. Bado haijawa updated. Taarifa za wabunge wa zamani bado zipo...ndio utajua kuwa hilo fisadi lenu lilisome shahada ya usanii wa maigizo. Kumbe unamshabikia mtu usiyemjua!? Kweli UKAWA ni manyumbu.

Wee no M a v i
 
Nani atamuheshimu mtu anayejinyea hadharani!? Fisadi Lowassa alienda kutia harufu ya kinyesi tu Geita...wasukuma walitamani kuhama mji. Huyo fisadi Lowassa anateswa na laana ya kufisadi nchi...ndio maana haishi kutetemeka mwili.
Bibie Hamida upo kwenye P nini?Maana wanawake tunajuana tukiwa kwenye mambo yetu.
Hilo povu sio kawaida.
 
Nani atamuheshimu mtu anayejinyea hadharani!? Fisadi Lowassa alienda kutia harufu ya kinyesi tu Geita...wasukuma walitamani kuhama mji. Huyo fisadi Lowassa anateswa na laana ya kufisadi nchi...ndio maana haishi kutetemeka mwili.

Kavae pedi unajiaibisha.....
 
Ngombe 500 ?700000= uliye post hata kuku huna. Nyumba unaishi ni ya kupanga ama unalipiwa na tasisi au serekali. Huna hoja zaidi ya wivu.
 
mchunga ng'ombe ameanza kuchunga? ndio swali lakini hakuna majibu zaidi ya matusi na fedhuri ukawa bhana shida sana
 
bado yupo yupo kwanza ila kapunguza deko baada ya wabongo kumfyekelea mbali bila huruma.kazi kwanza mahaba baadae.
 
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM, Dk. John Magufuli, -amewashangaa watu wanaokejeli safari za nje za Rais Jakaya Kikwete, akisema manufaa ya ziara hizo ni makubwa kuliko wanavyofikiri.

Amesema kupitia safari hizo, Rais Kikwete amefanikiwa kuwashawishi wafadhili kutoa misaada ya miradi mbalimbali nchini.

Aliyasema hayo kwenye mkutano wa kampeni katika kata ya Mvumi Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma jana.

Dk. Magufuli alitoa mfano wa Sh. bilioni 992 zilizotolewa na Serikali ya Marekani hivi karibuni kupitia mfuko wa MCC kwa ajili ya miradi ya umeme kama sehemu ya matunda ya safari za Rais Kikwete nchi za nje.

?Mabilioni yaliyotolewa na MCC, yatasaidia kusambaza umeme katika mikoa na vijiji vingi nchini na tayari mipango imekamilika ya kuwafikishia wananchi nishati hiyo,? alisema.

Wakati huo huo, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimelaani kitendo kinachodaiwa kufanywa na wafuasi wa Ukawa kuvamia ofisi za chama hicho mkoani Tanga na kufanya mashambulizi mbalimbali.

Kwa mujibu wa taarifa ya Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM, January Makamba, shambulio hilo lilifanywa juzi kabla na baada ya Ukawa kumaliza mkutano wa kampeni katika uwanja wa Tangamano kwa kurusha chupa zenye haja ndogo.

Aidha, alidai kuwa tukio hilo lilifuatiwa na la mgombea wao wa urais, Dk. John Magufuli, la kusimamishwa njiani na vijana wa Ukawa pamoja na kupiga kelele kwenye mkutano wake wa hadhara mkoani Mbeya kuwafanya wananchi wasimsikilize.

CHANZO: NIPASHE
Upo hapo baba! Huyu MTU wa kazi tu safari za nje leo hazina tija!!!!! Wabongo msiwe manyumbu!

Kuna watu wanasafiri kwenda nje kulikoko wanavyokwenda kumsalimia mama yake kijijini..😂😂☺☺
 
Nani atamuheshimu mtu anayejinyea hadharani!? Fisadi Lowassa alienda kutia harufu ya kinyesi tu Geita...wasukuma walitamani kuhama mji. Huyo fisadi Lowassa anateswa na laana ya kufisadi nchi...ndio maana haishi kutetemeka mwili.
Wewe ukichunguzwa utakutwa na janaba lilioweka makao ya kudumu hapo
 
Hata mimi huwa nakukwepa sana huku sababu ya ule undugu wetu wa Jangwani.
Kule nako nimeadimika sana,ngoja leo nitakuja.

Hahaha turudi kule Jangwani. Hii siasa sasa tupumzike kwa kweli.
 
Jana wakati Lowassa akihojiwa na bbc aliulizwa swali la mwisho kuwa endapo atashindwa urais atafanya nini? Mheshimiwa alijibu atachunga ng'ombe wake kijijini! Leo kipande hicho kimerudiwa kwenye kipindi cha 'amplify' cha clouds majibu yake yamekuwa tofauti kwa swali hilohilo moja, majibu yake yamekuwa akishindwa urais ataangalia kama uchaguzi ulikuwa wa huru na haki na taratibu za uchaguzi kurudiwa! binafsi napatwa na mashaka sana na mgombea huyu ambaye kauli zake haziwaridhishi wanaomuunga mkono mpaka wameamua ku 'edit'...
duuuuuuuuuu
 
CHADEMA walitaka kuuza nchi ili wasomeshe watoto bure.Walisema wao wangeweka dhamana ardhi yenye madini au gesi ambayo haijachimbwa halafu wakakope ili watu wasome bure.Athari zake ni kuwa mkishindwa kulipa Ardhi yenu yenye gesi au madini inachukuliwa na mkopeshaji.

CHADEMA litaka kuuza nchi kwa mabeberu kwa kisingizio cha kusomesha bure.
Sikiliza kuna kipande humo ndani ya mahojiano

 
Back
Top Bottom