Mgombea UDIWANI kata ya mwawaza ni mwizi - BABA YAKE mzazi

CHADEMA mnasikitisha yaani mmekosa wagombea mnaenda kumpitisha jambazi wa kutumia silaha?
 
Ninyi wana magamba kwa kutengeneza habari!! ya mke wa mwangosi ilikuwa hivihivi akaja kuwaumbua kuwa hakuongea nao!!!

Siwaamini!!!

Lakini mzee kama alisema hayo basi anaupeomndogo mno kama wa Mkama au JK! Kama ni kusimamisha viongozi wezi CCM mbona inaongoza! Kuanzia kwa Rais hadi nyumba kumi!!
 
kwa hiyo unataka CHADEMA nayo iwe na kina CHENGE,LOWASSA,NGELEJA na MKULO wao ili iweje? Fikiria huyo mgombea angekuwa ni wa CCM ungeandika sentensi hii uliyoandika? Hivi jambo baya ni lile linalotendwa na CCM tu. Mimi kwa ushauri wangu ni kama kweli si Propaganda za kisiasa, ikithibitika kwamba kweli jamaa ni mwizi basi CHADEMA ifute udhamini wake kwani ni bora kutokuwa na mgombea kwa kulinda heshima ya chama kuliko kuwa na mgombea anayechafua heshima ya chama.Halafu kama pia ikithibitika hao viongozi waliomweka huyo jamaa nayo pia waadhibiwe.

UKWELI HAUNA CHONGO WALA KENGEZA!!

CHADEMA watadhibitishaje ni mwizi?mahakama ndio chombo cha kudhibitisha na POLISI ni chombo cha kufanya upelelezi kama wote hawa wapo kimya huyu bwana anachafuliwa tu.
 
Kwani hujui au unajifanya kama hujui kma haujui basi......................Wizi haoooooooooooooooooooooooo Chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwa wizi kumbe chama cha wafadhili wa wizi................
Usiwe na ushabiki wa kijinga ndugu changanua mambo.
1. Tunahitaji kujua huyo mzee ni mfuasi wa chama gani maana inawezekana ni propaganda za CCM kwani wako tayari hata kuchonganisha familia kwa maslahi ya chama chao

2. Huyo mzee pia ni mwizi aliyekubuhu kwa nini aliuza mali yake ili kumtoa mwizi na je hizo fedha alitoa kama faini baada ya hukumu au ilikuwaje? na alimpa nani hizo fedha? TAKUKURU FANYENI KAZI HAPO maana huyu mzee kajichomeka mwenyewe.
3. Wizi wa huyo kijana umeonekana wakati wa kampeni tu? sidhani na sitarajii kuwa na ukweli hapo na nahisi tutapata ukweli muda si mrefu.
 
Kwenye huo mkutano wa ufunguzi, polisi walikuwepo? kama walikuwepo na huyu mwizi bado anaendelea na kampeni basi tunapoteza pesa zetu za kodi kulipa wasiofanya kazi, huyu anamiliki silaha, tena anafanyia ujambazi, shahidi namba moja ni babaye, wanasubiri nini kumkamata huyu na kumpeleka mahakamani fasta? maanake hii wala haihitaji kile ambacho hua kinaitwa, upelelezi bado unaendelea nahisi harufu ya fedha za kifisadi zimeisha mpitia mzee hapo!
 
Sasa mwizi anafanya nini uraiani? Police wafanye kazi yao sasa, na huyo mzee ni kituko, yeye kaishasema jamaa mwizi alikamatwa na bunduki alafu hapo hapo , kauza ng'ombe ili akamtoe mwizi police.Inamaana alitoa rushwa ili amtoe police.
Hapa ndipo wasanii wanapokosa utashi wa kutunga hadithi zao, yaani kwa mtu anaweza kufanya tathimini hii habari haina mashiko, ila kwa wanaosoma juujuu wanaona ipo sawa kabisa hapa ndipo unaweza kunyambua yupi ni great thinker na yupi ni great kilaza. Ila kwa sababu imeletwa na gamba mi sishangai kwa kuwa liliona neno chadema na mwizi halikujihangaisha hata kuchambua zaidi ya kuibeba na kuitupia jinsi ilivyo
 


“Mimi sikujua nilidhani nimezaa mtoto wa kiume ambaye atakuja kunilea na kunitunza uzeeni, kumbe hakuna kitu, amenitelekeza hapa mnaniona na umri huu nimebaki napata shida.

Mzee analalamika Shida, Mtoto ndo huyooo anagombea udiwani ili aje amtoe Maishan yeye anatake kuweka Kauzibe.
Hivi akiupata huo udiwan na siku akimpelekea Chochote Kitu huyo Mzee atakataa kweli!!!!
Ya Wassira na Watoto wa Kaka yake, yani Mzazi wako akiwa CCM Ujue umeumia....
 
Usiwe na ushabiki wa kijinga ndugu changanua mambo.
1. Tunahitaji kujua huyo mzee ni mfuasi wa chama gani maana inawezekana ni propaganda za CCM kwani wako tayari hata kuchonganisha familia kwa maslahi ya chama chao

2. Huyo mzee pia ni mwizi aliyekubuhu kwa nini aliuza mali yake ili kumtoa mwizi na je hizo fedha alitoa kama faini baada ya hukumu au ilikuwaje? na alimpa nani hizo fedha? TAKUKURU FANYENI KAZI HAPO maana huyu mzee kajichomeka mwenyewe.
3. Wizi wa huyo kijana umeonekana wakati wa kampeni tu? sidhani na sitarajii kuwa na ukweli hapo na nahisi tutapata ukweli muda si mrefu.

Nakusikitikia kwa kazi kubwa kuelimisha mpumbavu, ni mara kumi ungepewa mjinga umfundishe angejifunza, mi mpaka kesho sitaisadiki slogan ya jf kuwa eti "the home of great thinkers", unless wawe na maana tofauti na ninayoielewa mimi
 
Lakini tuache ya baba na mwanae, Hichi CDM mpaka wanapitia mchakato na kumpata huyo mwizi hawakujua? makusudi au kawaida yao?
kwenye red hapo mtu anaitwa hivyo na mahakama na sio propaganda, na wewe la GT usiamini kila kitu kinachosemwa na hasa kwenye ushindani wa kisiasa
 
Nyani haoni Ku-ndu-le (Magamba hayaona masburi yao).
nyani.jpg
 
CHADEMA watadhibitishaje ni mwizi?mahakama ndio chombo cha kudhibitisha na POLISI ni chombo cha kufanya upelelezi kama wote hawa wapo kimya huyu bwana anachafuliwa tu.
Hivi Lowassa, Chenge, Karamagi na wengineo wameshathibitishwa na Mahakama kwamba ni Mafisadi, au ni lini Polisi wamefanya upelelezi wa tuhuma zinazotolewa dhidi yao?

Tusiwe na ushabiki unaotutia ujinga!!
 
Ukweli ukidhihiri ubaya hujitenga..hongera baba yake mana umesema ukweli haya wana CDM munasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

babaake labda kichaa kahongwa......... sijaelewa labda makosa ya alieandika sijawahi ona alikamatwa na bunduki awe uraiani hasa akiwa cdm labda huyo mzeee alikuwa kalewa
 
Mwizi atakuwa ni yeye baba kwa kuchukua cheap rushwa kumdhalilisha mwane! Mungu amrehemu! Kweli rushwa huharibu akili
 
Tatizo si CDM kumchagua kiongozi mwizi bali mfumo wetu wa siasa unaruhusu kila mtu kugombea bila kujali usafi wake ndio maana leo hii tuna mawaziri waliofoji vyeti,wabunge wezi na wala rushwa diwani wa Kigamboni ni mwizi wa magari na anajulikana na mpaka sasa hivi ana kesi morogoro.
Ingawa na wasiwasi na uhakika wa hiyo habari kutokana na mtazamo wa gazeti lakini wazee wa kijijini bado wanasimama kwenye ukweli ila inakuwaje kesi ya kukutwa na silaha inamalizwa kwa pesa badala ya mahakamani kwani siyo kesi ya madai
 
Hizi mbinu za viongozi wa chama kizee kinachotafuta shimo kitaangaika sana lakini kifo lazima tu. Tutegemee kusikia mengi kuelekea Ukombozi wa kweli tusishangae kusikia Hata Dr. Slaa baba yake kasema alikuwa mwizi kwa magamba unaweza sikia lolote
 
Back
Top Bottom