Elections 2010 Mgombea ubunge wa CHADEMA Arusha mjini (Lema) akamatwa

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Kuna mdau katutumia ujumbe kuwa Godfrey Lema ambaye ni mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA jimbo la Arusha mjini yupo mikononi mwa polisi. Kisa na mkasa tutawafahamisha punde kwani anaendelea kufuatilia chanzo cha kukamatwa kwa bwana Lema
 
Tatizo la Lema ni anakitu kama utoto flani hivi,anadhani anaweza kufanya chochote na hatishiki
 
Isije ikawa watamtuhumu kuwa ndiye aliyetuma watu kumdunda Mama Batilda jana usiku.......katika kuchafuana vile.....................
 
Kuna mdau katutumia ujumbe kuwa Godfrey Lema ambaye ni mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA jimbo la Arusha mjini yupo mikononi mwa polisi. Kisa na mkasa tutawafahamisha punde kwani anaendelea kufuatilia chanzo cha kukamatwa kwa bwana Lema

I got the sms nw wanadai ni kuwa Dirty Politics dio wanahisi ndio wanataka kumfungulia mashitaka.

sasa kwa kwa nyie watu wa arusha na ninavyokuelewa huko lazi machafuko yatokeee.

Chama tawala kinampa umaarufu Lema na wanashindwa uchaguzi hilo ndio nawambieni wana CCM mumetupotezea jimbo hata mkiiba itajulikana tu.

NEC angalieni hili ndilo litaleta machafuko sasa kwenye majimbo mengi.

Mwanza yametokea mengine na huko arusha nako, kwenye magazeti nako mgombea mwingine kafungwa miezi 8 au 9 sasa wapi hii freee democracy???

Mapapa UFISADI WAKO HULU

Isije ikawa watamtuhumu kuwa ndiye aliyetuma watu kumdunda Mama Batilda jana usiku.......katika kuchafuana vile.....................

Labda ni yule dreva wa IKULU aliyefanyiziwa na wakeleketwa wa CHADEMA??

Twasikia hata wapambe wa Batilda huwa wanatoa vitisho sana kwa watu wanao support CHADEMA jamani huo mkoa mkae mkao wa kulala ndani na mtaambiwa umekuwa mkoa wa kipolice soon
 
Hiyo ilijulikana mapema sana wakuu... Batilda ana uhusiano wa karibu sana na Edward Ngoyayi Lowassa na kama mnavyofahamu EL RA na JK kwa pamoja wanaubia wa kumiliki dola... Lema anatakiwa afanye kazi za ziada maana hiyo ni rasha rasha tu mvua haijanyesha...
 
Naaaam mkuu, mbabe ndio neno sahihi, ila nampenda kitu kimoja ni mjasiri na anajua kushawishi, isipokuwa ndio hivyo tena

Huo ubabe unasabaibishwa na nini wakati vyombo vya dola vipo? Jiulize, kwa nini waliamua kkuvamia ofisi za TAKUKURU Arusha? Je, kwa nini aliamua kumkamata mgombea wa TLP aliyekuwa akitangaza kwa gari kuwa Wagombea wa vyama vya Upiznani wamejitoa na kumuunga mkono yeye wakati ni uongo? Polisi walikuwa wapi? Walichukua hatua gani wakati Polisi wenyewe wa Doria wapo mitaani, hata wale Trafiki wapo barabarani hata Mlalamikaji aamue kutoka alikokuwa na kuamua kumkamta?

Majibu yako yakupe clue kuwa Dola hapa ARUSHA ina-side na upande fulani au imeamua kumpuuza kitu ambacho ni hatari maana naye Lema ana watu wanoomuunga mkono.
 
Hiyo ilijulikana mapema sana wakuu... Batilda ana uhusiano wa karibu sana na Edward Ngoyayi Lowassa na kama mnavyofahamu EL RA na JK kwa pamoja wanaubia wa kumiliki dola... Lema anatakiwa afanye kazi za ziada maana hiyo ni rasha rasha tu mvua haijanyesha...

Lema aliwakatalia offer walio mpa twalijua hilo na ndio maana nawambiaga huyo EL akae nae mkao wa kula mtoto wa sokoine akirudi ahamie kwa wameru wenzake huko. hata ukiuliza kwa watu wengi ndani ya CCM hawapendwi kabisa ni kuwa wanatumia pesa kuwarubuni na watu wenye njaaa huko ndani ya CCM

Huo ubabe unasabaibishwa na nini wakati vyombo vya dola vipo? Jiulize, kwa nini waliamua kkuvamia ofisi za TAKUKURU Arusha? Je, kwa nini aliamua kumkamata mgombea wa TLP aliyekuwa akitangaza kwa gari kuwa Wagombea wa vyama vya Upiznani wamejitoa na kumuunga mkono yeye wakati ni uongo? Polisi walikuwa wapi? Walichukua hatua gani wakati Polisi wenyewe wa Doria wapo mitaani, hata wale Trafiki wapo barabarani hata Mlalamikaji aamue kutoka alikokuwa na kuamua kumkamta?

Majibu yako yakupe clue kuwa Dola hapa ARUSHA ina-side na upande fulani au imeamua kumpuuza kitu ambacho ni hatari maana naye Lema ana watu wanoomuunga mkono.

Yaaani katika watu wanao waumiza wananchi wengine wa kawaida ni hivi vyama vyetu visivyokuwa na uwezo ndio huko wanahongwa na kurubuniwa na hao wagombea wenye pesa na nadhani ndilo hapa unajaribu kugusia kwa mbali kuhusu huyo mgombea wa TLP na uhakika hashindwi kununuliwa

News nilio ipata muda si mrefu ni kuwa wanadai kuna mama alikuwa anamdai Lema pesa ndiko wamepitishia siasa chafu huko na kuipeleka kesi mahakamani.

Ila napenda kuwa ambia wale wote wanojitahidi kufanya hayo na kupoteza pesa nyingi ambayo kama ni kumsekwa Lema au kumsinda Lema nikuharibu pesa tuuu ni bora hata hizi kampeni zisingekuwepo tuuu sasa maana hakutokuwa na amani baina ya wananchi wao kwa wao huko majimboni tunakoishi wakuu.

Swala jingine ni hivi kama wananchi wamechoka na wanataka mabadiliko mtawakataza au ndio twawajengea chuki baina ya wao kwao na hii ni kwetu viongozi tusio faanya tafiti za kina nakujua nini wananchi wanataka na hawakitaki.
 
Lema aliwakatalia offer walio mpa twalijua hilo na ndio maana nawambiaga huyo EL akae nae mkao wa kula mtoto wa sokoine akirudi ahamie kwa wameru wenzake huko. hata ukiuliza kwa watu wengi ndani ya CCM hawapendwi kabisa ni kuwa wanatumia pesa kuwarubuni na watu wenye njaaa huko ndani ya CCM

Jethro hata akiamia huko hao wameru watamkubali kweli au ndo atakosa bara na pwani:nono:
 
Back
Top Bottom