Elections 2010 Mgombea ubunge jimbo la Musoma mjini anahaha

dfreym

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
342
87
Da! kweli mwaka huu kitimtim.
niwape nyepesi? ( kabla sija wapa hebu ngoja niwaulize swali je inaruhusiwa kwa wagombea kuzunguka mashuleni na mahospitalini kuomba kura? nijibuni tafadhali).
mgombea ubunge kwa ticketi ya CCM musoma mjini ndg. VEDASTUS MANYINYI MATHAYO.
ana hali mbaya kisiasa, yeye na madiwani wake wa 'SISIEMU'
mh! kweli ukisikia kitimtim ndo hiki. jamaa hawalali, yani kampeni za jukwaani zimeshindikana ( hawapati watu) sa wanachokifanya sasa ni aibu. wanapita mahospitalini na kuwa kusanya wauguzi na kuwaweka chemba halafu wanawapa darasa unajua wanasemaje? " haya akina mama tumekuja kwanza kuwaona (sijui hapo kabla walikuwa wapi wasiende kuwaona)
then, wanawaomba wawapigie kampeni kwa wananchi " sasa jamani mnajua sisi ni serikali na serikali ni CCM sa tunawaomba muwe manawaambia wakinamama( wagonjwa) kwamba CCM (serikali) imefanya mambo makubwa si mnaona hata nyie? imeleta vyandarua na sasa inampango wa kunyunyizia dawa kwa ajili ya maleria. ili wajue wema wa SISIEMU kupitia vyandarua ILI WAICHAGUE CCM.
hawakuishia hapo wote na madiwani wao vuuuuuuuu mpaka kwa walimu wakuu shuleni. " samahani mkuu (du! leo mkuu) naomba kuonana na waalimu wako. wimbo ni ule ule.
unajua anaemchachafya huyo mng'ang'ania kiti hicho cha ubunge ni nani? ni MJUKUU WA NYERERE.
wa CHADEMA. jamaa ana seeeeeraaaa hana hela!
kweli kazi ipo.

USHAURI WANGU KWA WALIMU NA MANESI
msidanganyike nyie ni watu wazima hamfundishwi kusema.
 
Heeeeee safi sana kimbizeni tuuu mipasho kwisha habari yakee
 
safi sana,jamaa hata wapwa zake hawataki kwenda kumkampenia huko maskini duh
 
ushauri wangu kwa walimu na manesi
msidanganyike nyie ni watu wazima hamfundishwi kusema.

sheria ya uchaguzi unakataza kampeni kwenye taasisi za umma. Ushahidi wa video ukipatikana na kupelekwa nec huyo itabidi ang'olewe kwenye kinyanganyiro hicho.........tafuteni ushahidi tu na kazi yake kwisha
 
Safiiiiiiiiiiii!!!! Nimeona waraka wa tamko la viongozi wa dini kuhusu uchaguzi yote haya matamko yanalenga kungoa thithiem madarakani kwani wanaonekana wamevimbiwa.
 
Da! kweli mwaka huu kitimtim.
niwape nyepesi? ( kabla sija wapa hebu ngoja niwaulize swali je inaruhusiwa kwa wagombea kuzunguka mashuleni na mahospitalini kuomba kura? nijibuni tafadhali).
mgombea ubunge kwa ticketi ya CCM musoma mjini ndg. VEDASTUS MANYINYI MATHAYO.
ana hali mbaya kisiasa, yeye na madiwani wake wa 'SISIEMU'
mh! kweli ukisikia kitimtim ndo hiki. jamaa hawalali, yani kampeni za jukwaani zimeshindikana ( hawapati watu) sa wanachokifanya sasa ni aibu. wanapita mahospitalini na kuwa kusanya wauguzi na kuwaweka chemba halafu wanawapa darasa unajua wanasemaje? " haya akina mama tumekuja kwanza kuwaona (sijui hapo kabla walikuwa wapi wasiende kuwaona)
then, wanawaomba wawapigie kampeni kwa wananchi " sasa jamani mnajua sisi ni serikali na serikali ni CCM sa tunawaomba muwe manawaambia wakinamama( wagonjwa) kwamba CCM (serikali) imefanya mambo makubwa si mnaona hata nyie? imeleta vyandarua na sasa inampango wa kunyunyizia dawa kwa ajili ya maleria. ili wajue wema wa SISIEMU kupitia vyandarua ILI WAICHAGUE CCM.
hawakuishia hapo wote na madiwani wao vuuuuuuuu mpaka kwa walimu wakuu shuleni. " samahani mkuu (du! leo mkuu) naomba kuonana na waalimu wako. wimbo ni ule ule.
unajua anaemchachafya huyo mng'ang'ania kiti hicho cha ubunge ni nani? ni MJUKUU WA NYERERE.
wa CHADEMA. jamaa ana seeeeeraaaa hana hela!
kweli kazi ipo.

USHAURI WANGU KWA WALIMU NA MANESI
msidanganyike nyie ni watu wazima hamfundishwi kusema.

Bado Bunda na Mwibara ndio hatujajua hali ikoje. Mwenye taarifa za huko atujulishe hali ikoje.

Tarime, Serengeti na Musoma mjini kwisha habari yake.
 
Kweli jamaa ana hali mbaya huwezi amini Vincent Nyerere anasaidiwa na viongozi wakubwa wa serikali ambao ni wana CCM wanaotoka Musoma,huyo jamaa Mathayo j2 last week alienda kuomba kwa chief wa wazanaki ili kwamba Vincent ajitoe lakini wazee wakakataa,kwa hiyo huyo jamaa hakubaliki hata kwa watu wa chama chake.
Mwaka huu wananchi hawadanganyiki.
 
Hii ya rangi nyekundu imekaaje, "unajua anaemchachafya huyo mng'ang'ania kiti hicho cha ubunge ni nani? ni MJUKUU WA NYERERE.
wa CHADEMA
."
 
Eeeh wacha ccm waongezewe maumivu sawa sawa na uovu wao. Walifikiri kwamba hata sasa raia ni wajinga kiasi cha kuchagua chama hata kama kimesimamisha zezeta, kama ilivyokuwa imezoeleka hapo kwanza, ccm ikiisha kukupitisha basi hakuna wa kukupinga. KAZA BOOT MWANANGU VISE, JIMBO NI LAKO HILO. DONT FORGET DR SLAA FOR PRESIDENT!!!
 
Back
Top Bottom