Elections 2010 Mgombea Ubunge CCM awatukana Ma-albino

Malafyale

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
13,813
11,126
SOURCE:By Said Hamdan; GUARDIAN ON SUNDAY

Lindi Urban CCM parliamentary candidate Mohamed Abdul Azizi who is also Iringa Regional Commissionerand his campaign manager Khalfani Mandanje, used abusive and stigmatising language against Lindi Urban parliamentary candidate Salum Bar’wani from the Civic United Front, saying he was unsuitable because he was an albino.

They told the electorate in Ng’apa, Mingoyo, Chikonji and Matopeni wards at varying times of the campaigns that under normal circumstances people with albinism suffered memory loss because of the lack of Vitamin C as they are exposed to sunlight.

CCM candidate Azizi is quoted to have said: “In the past, our elders spat on their chests if they met albinos in the morning to drive away any curse.”

An embittered Bar’wani told journalists that people harbouring such attitudes were no different from those who killed albinos for superstitious reasons. He is considering to petition to the national electoral commission.

Meanwhile, Azizi asked the electorate to vote him back into parliamaent so that he could finalise the construction of his hotel. But he did not give details

Angalizo;Hizi ndiyo akili za mtu aliyeshika Ubunge wa Lindi kwa miaka mingi sasa na kuaminiwa hadi kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa ktk serikali inayoongozwa na CCM?
 
Huyo jamaa ni mshenzi na baradhuli wa kutupwa. Anapaswa kuchukuliwa hatua kali kwa kuwadharau maalbino. Kwa mwendo huo mauaji ya hawa ndugu zetu yataisha kweli kama viongozi wenyewe hawaoni kama maalbino ni watu kamili?
 
Babuyao;

Sidhani kama mtu mwenye akili timamu anaweza kuthubutu kutamka hata nusu tu ya maneno kama haya;isitoshe tena na tena nikiyarudia kuyasoma imefikia hatua hata siamini kwa mheshimiwa Mbunge kutamka maneno kama hayo!

Matamshi ya kutukana mapungufu ya watu yanamsuta Kocha Glenn Hoddle wa Uingereza hadi leo,kwa kauli hii Azizi anapaswa kuchukuliwa hatua kali sana za kisheria!
 
Huyo jamaa ni mshenzi na baradhuli wa kutupwa. Anapaswa kuchukuliwa hatua kali kwa kuwadharau maalbino. Kwa mwendo huo mauaji ya hawa ndugu zetu yataisha kweli kama viongozi wenyewe hawaoni kama maalbino ni watu kamili?

CCM ndiyo inawafundisha na kuwalea washenzi na mabaradhuli hawa. Angalia ktk thread nyingine humu JF jinsi mkubwa wao, JK alivyowakejeli watu wenye kuishi na VVU na ndiyo utafahamu ushenzi huu unatoka wapi.
 
Kwanza tulisikia wasichana wa shule kupata mimba ni kiherehere chao,zikaja kauli za Makamba kama CCM haiwezi kufanya midahalo kisha baada ya midahalo kuulizwa maswali na watu wa KARIAKOO ambao kwa njaa zao wanailaumu serikali,na hii ya sasa kwa kweli sio nzuri hata chembe kuisikia!
 
Meanwhile, Azizi asked the electorate to vote him back into parliamaent so that he could finalise the construction of his hotel. But he did not give details
Yaani mtu anaweka wazi kabisa nia yake ya kutaka uongozi kuwa ni maslahi binafsi!..Hakunatofauti na ayule babaake anaetakakujenga barabara katikati ya mbuga ya Serengeti ili kujinufaisha yeye na family yake!
Ewe NYERERE, FUFUKA HUKO ULIKO!
 
They told the electorate in Ng’apa, Mingoyo, Chikonji and Matopeni wards at varying times of the campaigns that under normal circumstances people with albinism suffered memory loss because of the lack of Vitamin C as they are exposed to sunlight.

Loss of memory is also subject to Jakaya Kikwete.

As it stands this great lier and commedian of all times in Tanzania leadership has promised more than 30 multi-trillion projects if elected again forgetting (loss of memory) the truth that he has failed to deliver on multi-million promises in his 5 years in power.

Kama hoja ni 'loss of memory', Is Jakaya Kikwete a curse for Tanzania??

Ninapatwa na machungu nikisikia hizi zarau za CCM!!!
 
Mohamed Abdulaziz (Tanzania)
2822.png
 
punguzeni hasiara wakuu......Pinda aliwahi sema...."wakiamua kukamata wauaji wa Albino, hatabaki kiongozi..." na zaidi, kuna mmoja ni mgombea kule Kigoma, wananchi walimtaja kwenye ile "sensa ya JK" kama mshiriki wa biashara ya viungo vya albino...CCM wamebaki kuwauza ninyi tu mnaogoma kuwatoa madarakani.....
 
CCM ndiyo inawafundisha na kuwalea washenzi na mabaradhuli hawa. Angalia ktk thread nyingine humu JF jinsi mkubwa wao, JK alivyowakejeli watu wenye kuishi na VVU na ndiyo utafahamu ushenzi huu unatoka wapi.

Hawa ndio wanaMtandao wa Jakaya; yeye hana moral authority ya kuwatukana maalbino kwani hata yeye anaonekana kama ni taahira vile!! Mtu mwenye akili timamu hawezi kuzungumza matusi yale halafu anaomba kura ili aweze kumalizia hoteli yake anayojenga!! Hao ndio maRC wa Jakaya ; ufisadi kwa kwenda mbele.
 
CCM candidate Azizi is quoted to have said: "In the past, our elders spat on their chests if they met albinos in the morning to drive away any curse."
Haya maneno si ya kutamkwa na mtu mwenye akili timamu, hakyanani kalewa madaraka huyu, wanaharakati wa haki za binadamu mnayasikia hayo.
 
CCM candidate praises Lipumba, disqualifies CUF albino candidate

Lindi Urban CCM parliamentary candidate Mohamed Abdul Azizi has conceded that the Civic United Front (CUF) presidential candidate, Prof Ibrahim Lipumba, is a well learned economist who could bring economic revolution in the country if elected president.
Azizi, who also doubles as Iringa Regional Commissioner, is defending his position in the constituency he has been representing in parliament for a long time.
He told a campaign rally at Matopeni area that Prof Lipumba was one of the most brilliant academicians in the country who has offered his contribution to the development of the country and other nations.
The parliamentary candidate cited the US and European countries whose economies the professor had helped to improve, but told the potential voters that the time for Prof Lipumba to run the country was yet to come because of the existing traditional transfer of authority, for which he didn’t elaborate.
In another turn of events, Azizi and his campaign manager Khalfani Mandanje, used abusive and stigmatising language against Lindi Urban parliamentary candidate Salum Bar’wani from the Civic United Front, saying he was unsuitable because he was an albino.
They told the electorate in Ng’apa, Mingoyo, Chikonji and Matopeni wards at varying times of the campaigns that under normal circumstances people with albinism suffered memory loss because of the lack of Vitamin C as they are exposed to sunlight.
CCM candidate Azizi is quoted to have said: “In the past, our elders spat on their chests if they met albinos in the morning to drive away any curse.”
An embittered Bar’wani told journalists that people harbouring such attitudes were no different from those who killed albinos for superstitious reasons. He is considering to petition to the national electoral commission.
Meanwhile, Azizi asked the electorate to vote him back into parliamaent so that he could finalise the construction of his hotel. But he did not give details.

MY CONCERN== CHECK THE RED LINES, IS HE DESERVING TO SERVE AS GOVERMENT OFFICER?
 
Hilo jamaa linapaswa kuwa pale Dodoma Mirembe wakilichunguza ubongo wa lenyewe ulivyooza.
 
Wanaopata mimba shuleni ni kwa sababu ya kiherehere chao,na wanaopata ukimwi ni kwa sababu ya kiherehere chao,lakini bosi wake alimpa albino ubunge wa viti maalum ktk bunge lililopita.

Bosi ndio mwenye kauli hizo na mteule wake ndo kaja na hiyo. Bongo bwana inakatisha tamaa.
 
Back
Top Bottom