Elections 2010 Mgombea ubunge-Babti Mjini wa NCCR-MAgeuzi sasa agoma kusaini matokeo...............

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
ITV imeripoti ya kuwa mgombea ubunge wa NCCR MAgeuzi ambaye alipitwa kaw kura takribani elfu moja na yule wa ccm aliingia mitini baada ya majumlisho ya pili ya kura na hivyo kugoma kusaini matokeo...............

Mgombea wa Chadema alikiri kuwa ameshindwa na kuangusha sahihi yake bila ya zengwe hata chembe.......................

mgawanyiko wa kura ni kama ifuatavyo........................

ccm.................................32, 777

nccr-mageuzi....................31, 635

chadema...........................6, 367

appt -maendeleo.......................90
 
Back
Top Bottom