Mgombea ubunge Arumeru mashariki ametoboa sikio

Siasa za bongo zimekuwa ngumu sana. Inspection mpaka kwenye masikio! Pengine ametoga kwa sababu za kiimani (faith). Siku hizi dini ziko nyingi!
 
Kwa mujibu wa taarifa zilizoandikwa kwenye gazeti la leo la Nipashe ukurasa wa ishirini na nane mmoja wa wagomea ubunge amewakasirisha wazee wa meru kwa sababu ametoboa sikio kwa ajili ya kuvaa hereni.

usingeandika hereni ningekushangaa. Jamaa anatembea barabarani mwendo mdundo huku anarusha mikono, mara anashika flaiz utadhani kama ana rap vile, na hereni imening'inia sikioni yaana raha burudani mustarehe!
 
hamnaga hiyo kitu . Mbona mh ana disco ( bills ) na ni sehemu moja wapo ya kuharibu maadili ya vijana . Hizo nazo ni tabia njema ? Acheni hizo . Tushindane kwa hoja siyo kwa mambo yakipuuzi.
rejao akiweka post kama hii inachomolewa fasta!!
JF inamlinda sana huyu mh mwenye hiki kiwanja cha starehe!!
Akili za mwanaasha hizi!
Kenge mwenye njaa hamjui mwanae!
 
Siasa za bongo zimekuwa ngumu sana. Inspection mpaka kwenye masikio! Pengine ametoga kwa sababu za kiimani (faith). Siku hizi dini ziko nyingi!

Mkuu wabongo tuna tamaduni zetu lazima tuwe makini sana
 
Kihistoria kwenye makabila mengi sana Afrika wanaume wanasuka na wanawake wananyoa vipara. Rasta za boby Marley zilikuwa zinasokotwa lakini tafsiri yake na sangita za kimasai ni moja. Wanyamwezi zamani walikuwa wanasuka staili maarufu ya "twende kilioni" na kwa wale wanaofahamu historia wanywamwezi ni wasusi wazuri sana wa mikeka utamaduni waliouleta pwani ya Tnaganyika walipokuja kama watumwa au wapagazi wa wasaka watumwa!! Kutoga masikio si kosa kama dhamira ya mtogaji haimaanishi ushoga!!
yaweza kuwa sio kosa kwake na kwako lakini si tamaduni wa mahala na watu anaotaka kuwawakilisha, ni vema anaetuwakilisha akabeba uhalisia wetu na utamaduni wetu,wanaume wa meru hatutogi,hatusuki,hatuvai rubega, hili ni la msingi katika kutafuta wa kutuwakilisha...mwiteni aje awawakilishe ninyi mnaotoga masikio...hata ukahaba kwa baadhi ya nchi si kosa lakini kwa nchi yetu ni uvunjifu wa sheria
 
mh acha ukuku wewe nani kakumbia bills ni sehem ya kuaribu maadili? Maadili unajiaribia mwenyewe co kumbi za starehe zinakuaribia... We baba ako kuna cku ataokota ela atajenga nyumba yenye swmnpul utamwambia anaharibu maadili hom kwa vivazi vyakuoge.

unaonyesha jinsi ulivyo na akili chafu kama nyegere .
 
sinikawaida ya watu wa makabila hayo kutoboa masikio. Tumeyaona kwa wamasai wamang'ati waarusha wameru na kadhalika. Simkubali sioi ila hoja yakutoboa sikio nahisi haina mashiko pande hizo bt much respect kwa mchango wako
Utoboaji wake si ule wa kimila.Ule ni utoboaji wa kishoga.
 
Siasa za bongo zimekuwa ngumu sana. Inspection mpaka kwenye masikio! Pengine ametoga kwa sababu za kiimani (faith). Siku hizi dini ziko nyingi!
hakuna namna yeyote ya kulihalalisha hili...
 
sinikawaida ya watu wa makabila hayo kutoboa masikio. Tumeyaona kwa wamasai wamang'ati waarusha wameru na kadhalika. Simkubali sioi ila hoja yakutoboa sikio nahisi haina mashiko pande hizo bt much respect kwa mchango wako

Mkuu mimi mwenyewe ni Mang'ati, lakini utoboaji wa Siyoi ni ule wa Kizungu na Mademu wa kileo. Ni utoboaji ambao unadhalilisha tamaduni zetu za kiafrika zilizostaarabika. Anavaa hereni kama mwanamke yaani tabu tupu!
 
namshauri akafanyiwe surgery ya kuziba alipotoboa,ikitokea ameshindwa uchaguzi akapinge mahakamani kuwa ameshindwa kutokana na hizi shutuma wakati alizaliwa hivyo...hahaa
 
Kosa halihalalishi kufanya kosa lingine

cheki mlivo na akili za kinafiki . Mnaongea ovyo sababu hamlipii kodi midomo yenu . Hi sredi ifungwe sababu haina hoja ya maana zaidi ya unafiki na uchimvi .
 
Back
Top Bottom